Tusibaguane kwa vyama, sisi wote ni Watanzania

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,910
5,081
tusibaguane kwa vyama, sisi wote ni watanzania nchi ni yetu sote, kwa nini tuwekeane visa wakati sote tunatakia mema nchi yetu tz. napendekeza tuondoe fitna katika kutambua na kutekeleza mambo yanayohusu nchi yetu. vyama havitusaidii sana kama nchi. na tukiendekeza vyama naona mbele giza. kama mtu umebahatika kupata elimu basi tuzitumie kuendeleza jamii na si kupotosha. hatujachelewa sana lakini baada ya muda tutachelewa.
 
Back
Top Bottom