Tusi na laana kwa Songwe na Mbeya

Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
2,102
1,435
Unawasili Songwe Airport unakutana na bango limeandikwa "Songwe Airport the Land of Safari Lager"Je inamaana watu wa Songwe na Mbeya ni walevi sana? Hili bango haliwatendei haki watu wa Songwe na Mbeya, bali huu ni udhalilishaji, matusi na laana kwa wakazi wa eneo hilo.
 

Attachments

  • IMG_1496.JPG
    IMG_1496.JPG
    412.7 KB · Views: 523
Ila uwanja ukikamilika ni mzuri sana, hususan ukishuka kipupwe swaaafiiiii na parking yao nzuri sana.
Hilo bango ni mamlaka kuliondoa tu.
 
Ngigana .. na vipi maoni yako juu ya lile lingine la spirit of the nation?

img_1356.jpg


Ndgu yangu wee, hata hilo lakera lakini kuleta mageuzi labda tuanze kwa kuliondoa hili la Songwe! Kwa kweli linadhalilisha na kama kebehi vile! ina maana watu wanawaza kunywa pombe tuu? Halileti picha nzuri
 
Back
Top Bottom