Tushirikishe biashara yako, upate mawazo mapya na kutanua soko lako.

Jun 9, 2017
62
52
Habarini wakuu

Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha za bidhaa zilizotengenezwa hapahapa nchini kwetu Tanzania katika harakati za kuelekea Tanzania ya viwanda. Utakuwa ni uzi wa kuweka picha za bidhaa tulizozitengeneza sisi wenyewe(watanzania) na si picha za ku download au kuweka picha za products
20210505_104055.jpg
20210530_134647.jpg
20210505_102648.jpg
kutoka kwa mtu mwingine.
20210505_104211.jpg
20210329_135557.jpg
20210505_104055.jpg
20210530_134647.jpg
 
Hongera...lakini nahisi soko lenu liko kwa mabinti wa secondary..maana mikoba hiyo wamama dah...hebu uwe unamtembea mkaka mmoja hivi yuko Kenya anajiita JOKAJOK uone alivyoteka soko la wamama😔!
Au la mm ni mshamba!
 
Hongera...lakini nahisi soko lenu liko kwa mabinti wa secondary..maana mikoba hiyo wamama dah...hebu uwe unamtembea mkaka mmoja hivi yuko Kenya anajiita JOKAJOK uone alivyoteka soko la wamama!
Au la mm ni mshamba!

Ni kweli hii mikoba nadhani ni material au namna wanavyotengeneza inatutenga baadhi ya watu

Kuna namna ipo tofauti sana na ya China na Turkey
Kama wazalishaji wa ndani wakiweza ku upgrade watatupata wengi tu.
 
Ni kweli hii mikoba nadhani ni material au namna wanavyotengeneza inatutenga baadhi ya watu

Kuna namna ipo tofauti sana na ya China na Turkey
Kama wazalishaji wa ndani wakiweza ku upgrade watatupata wengi tu.
Ila tuseme kweli ...soko la ndani la leather sio zuri ..bado kama kibudu....kuna mbaba nilimuona kwa maonesho dah .anatengeneza viatu .jaman shapeless kbs..nadhan hatuna vifaa au tu soko halipo...kuna kidada kingine Kenya kinamikoba kuntu balaa..yaan huaminu anatengeneza Kenya!
Bidhaa yyt ukiweza penya kwa wanawake ujue ushapenya!
☝Hiyo imekaa kitotooo!😔
 
Back
Top Bottom