Tushirikishane website za kupata kazi nje ya nchi

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,761
5,247
Habari wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza embu tushirikishane website mbalimbali duniani au recruiting agencies za nje ya nchi ambazo husaidia watu hasa waafrika kupata kazi nje ya nchi.

Pia ambazo zinawakutanisha expats na raia kutoka nchi mbalimbali duniani kwa lengo ambalo ni kikazi zaidi, au kushirikishana fursa mbalimbali zenye tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA WALE WABOBEZI WA IT, UNAJIJUA NI IT MASTER, UNA KIPAJI KWENYE MAMBO YA IT,

JARIBU KUJIUNGA NA HAWA JAMAA HUA HAWAKUACHI KAMA UNA SIFA STAHIKI LAZIMA WATAKUTAFUTIA KAZI

WANAITWA "SOSHACE"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*GOOD NEWS: UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA WAMETANGAZA NAFASI MPYA ZA AJIRA ZA WALIMU KWENDA KUFUNDISHA NCHINI MAREKANI.*

* WANAHITAJIKA WALIMU WA LUGHA HIZI:-*
● Kiswahili
● Kiingereza

* VIGEZO VYA WAOMBAJI:-*
● Umri Kuanzia Miaka 21
● Uwe Mtanzania
● Elimu Kuanzia Degree
*USIWE MCHOYO, SHEA MAGROUP MENGINE TAFADHALI!*

*Application Deadline: April 30th, 2020.*

* Kwa Ajira Mpya Zaidi, Jiunge Nasi Telegram Bofya Hii Link t.me/ajiraleotanzania*

*KUSOMA MAELEZO KAMILI NA KUTUMA MAOMBI, Bonyeza Hapa*

*KUPATA AJIRA MPYA, FURSA NAMBA/NIDA ID COPY na TAARIFA ZA ELIMU Haraka Kwa Simu Yako, INSTALL APP Yetu Rasmi BURE...*
Ku-INSTALL, Bonyeza Link HiiAjiraLeo Tanzania - Apps on Google Play

*KAMA WATUMIA IPHONE, Jiunge Nasi Telegram, Bofya hii link* t.me/ajiraleotanzania

*KUCHEKI NAFASI NYINGINE MPYA ZA AJIRALEO, BONYEZA HAPA* AjiraLeo Tanzania

*NOTE:* IKIWA LINK HAIFUNGUKI/INASUMBUA, *SAVE NAMBA* YA ALIYEZITUMA au *INSTALL APP YA AJIRALEO TANZANIA.*

*SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI!*

sent from toyota Allex
 
Mim naonaga haya matangazo ya ajira ya kipuuzi,
Kwanini usingetoa website ya ubalozi wa marekani kudhibitisha hii habari

Back
Top Bottom