Tushirikishane uzoefu wa kupambana na majanga!

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
307
204
Naomba kuuliza kati ya viumbe hawa ni yupi ukisikia au kugundua kuwa kaingia ndani wewe unaeza kulala nje ya chumba chako???
IMG_20170314_164833_355.jpg
 
juzi kaingia huyu E.wewe ilikuwa patashika uzuri hakuweza kupanda ukuta na alikuwa anaslade kwenye tiles.Ila Mungu alinipa ujasiri nikaweza kumwuua alikuwa wale wa kijani
 
juzi kaingia huyu E.wewe ilikuwa patashika uzuri hakuweza kupanda ukuta na alikuwa anaslade kwenye tiles.Ila Mungu alinipa ujasiri nikaweza kumwuua alikuwa wale wa kijani
Uwii nahisi ingekuwa mimi ningejiharia kwa kwelii
 
Hakuna kama D asee
Yaani ninawaogopa haoo

Huyo E sijawahi kumshuhudia live zaidi ya katika TV na pictures tu
 
juzi kaingia huyu E.wewe ilikuwa patashika uzuri hakuweza kupanda ukuta na alikuwa anaslade kwenye tiles.Ila Mungu alinipa ujasiri nikaweza kumwuua alikuwa wale wa kijani
Yeah ni kweli...nyoka kwenye cement au tiles hana nguvu kabisa.
huwa anateleza kwa tabu sana tofaut na kwenye udongo/mchanga au kwenye majani
 
E aiseeee hapana
Ukikutana na huyo unahis n rungu la invisible umekutana nalo
 
Back
Top Bottom