Tushirikishane mjadala wa maendeleo jimbo la Mlalo

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Mlalo ni katika miji mikongwe Sana. Mabadiliko ya hali ya hewa yanabadilisha muonekani wake. Lakini RAIA wanauwezo kuiweka sawa.

Kitaa chaghambaze wandughu bila ishwi kuinghana mawazo mlalo neigwe.

karibuni
 
Mlalo kwa akina Madame B huko. Miaka ile nipo huko hakukuwa na umeme, barabara mbovu sana, maji shida. Ukweli jimbo zima lipo hovyo hovyo. Uzuri wa kule ni maisha kuwa chini, hali ya hewa nzuri, matunda ya kumwaga na mademu wazuri weupe wanajua balaa.
 
Mlalo kwa akina Madame B huko. Miaka ile nipo huko hakukuwa na umeme, barabara mbovu sana, maji shida. Ukweli jimbo zima lipo hovyo hovyo. Uzuri wa kule ni maisha kuwa chini, hali ya hewa nzuri, matunda ya kumwaga na mademu wazuri weupe wanajua balaa
Ndo mana ulinasa kumbeee

Ila mie siko jimbo la Mlalo
 
Back
Top Bottom