Tushirikishane Cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa bila stress

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
2,000
Click hii link hapo chini kwa ajili ya kuexchange views and ideas juu ya Cryptocurrency issue kwenye group letu la WhatsApp..Bitcoin and all altcoins will be highly discussed.

Njooni tujadili kinaubaga juu ya taaluma hii adhimu ya Cryptocurrency. Bonyeza lonk hii hapa kufiia kilingeni. Forex /blockchain EA:
 
jowzey

New Member
Jul 11, 2018
2
20
Mr izo coin umezitaj nying sana vp zina userbility yake yan unaaweza ukatumia iyo coin kununulia ata vituuu
 
raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
582
500
I
Hellow good people!
Baada ya bitcoin kuvumbuliwa kama cryptocurrency ya kwanza kuanza kutumika duniani , kumekuwa na shauku ya watu wengi kutaka kuwekeza katika bitcoin lakini inawawia vigumu kutokana na bei yake kuwa juu mno , thamani ya bitcoin 1 iliwahi kufika million 40 za kitanzania , kwa sasa bitcoin moja inathamani ya Tsh Million 16.++,.
Uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya kushirikishana cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa na kuhold mpaka mwisho Wa mwaka 2018. Mimi binafsi nitaanza na coins kadhaa ambazo nimeziona kibongo bongo tunaweza kuziafford kutia mpunga wetu humo na ukahold mpaka December 2018 bila stress.

1. Action coin Log In ‹ Action Coin — WordPress
Hii coin niliwahi kuona mdau mmoja kaitambulisha humu ndani anaitwa budot uzi wake huu Action coin (Coin mpya kuzinduliwa mwezi march)
Kwa kuongezea kidogo hii ni coin ambayo ipo kwenye pre lunch ,inatarajiwa kuwa lunched ifikapo tarehe 1 March 2018. Ila kwa sasa wapo kwenye pre sale ya tokens zao na ratiba yao ipo kama ifuatavyo,
February 9 to 15: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.005 USD. You must register to participate.
February 16 to 20: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.01 USD. You must register to participate.
February 21 to 25: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.02 USD. You must register to participate.

Kingine pia kutoka action coin ukifanya signup kwa sasa wanakupa free coin 1,000 , ofa hii inatafungwa tarehe 1 March 2018. Kazi kwako.!

2.Ethereum cash pro Ethereum Cash Pro
Hii pia ni coin ambayo ipo pia kwenye pre lunch inatarajiwa kuwa lunched tarehe 22 February 2018 . Price ya coin moja kwa sasa ni 0.001 . ALSO wanatoa free coins 10,000 ukifanya sign up kwa sasa.

3.WCX WCX
Hii pia ni coin ambayo ipo kwenye pre lunch. Tarehe 25 February 2018 itakuwa lunched rasmi. Kwa sasa Price ya coin moja ni $0.10 inakadiriwa hadi kufikia mwisho Wa mwaka price itafika $500 kwa coin moja, nao pia wanatoa free coins 50 kwa members wapya wanaojisajili.

4.Legit coin Legitcoin Presents Cryto Revolution
Hii ni new coin ambayo imeshakuwa lunched tangu tarehe 15 January 2018,, kabla haijazinduliwa price ya 1legit ilikuwa $0.001,
Saizi naandika Uzi huu thamani ya 1legit ni $2.05. Na kwa mujibu Wa MARK LEE founder Wa hii coin anadai hadi kufikia mwezi March 2018 thamani ya coin 1 itafika $70. Pia Inasemekana hii coin mpaka kufikia December 2018 itafika $700 kwa coin moja.
Kitu pekee ambacho wamekujana nacho hawa jamaa ni kwamba wapo mbioni kutengeneza Master cards za legit coin ambazo Zitaitwa LEGIT CARD , ambapo zitakuwa zinatumika kwa ATM Mashine yoyote duniani kwa ajili ya withdraw za legitcoin na other cryptocurrencies zilizopo duniani,

4b48a20d4189b63353d9057ae355bbc7.jpg

Kwa sasa ukijisajili wanakupa free coins 5 tu. Kujisajili ni simple unaingia sehemu ya Sign up then unajaza email na nywira yako , baada ya hapo watakutumia email kwa ajili ya kucomfirm e-mail yako, ndani ya hiyo Email utakayotumiwa kutakuwa na link pamoja na activation key , chakufanya utacopy zile activation key , hafu utabofya ile link iliyopo ndani ya email , itakupeleka kwenye sehemu yenye kibox utapaste zile activation key then kwa chini pia kunakibox cha kuthibitisha you're not a robot hakikisha panakuwa ticked , then bonyeza continue. Utakuwa umemaliza

Kwa sasa niishie hapo niwapishe wadau wengine kwa mawazo na michanganuo mingine juu hizi digital money pamoja na currencies za kuweza kuwekeza kwa sasa

Kwa sasa niishie hapo niwapishe wadau wengine kwa mawazo na michanganuo mingine juu hizi digital money pamoja na currencies za kuweza kuwekeza kwa sasa.
Jaribu pia NinjFloki ipo vizuri
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
7,379
2,000
Mkuu kama ulichukua etherium kwa kipindi hicho basi wewe ni boss mkubwa Sana ....

Walaamiwe wajinga wote hapo mwanzoni waliokuwa wanakubeza daaaa😂😂😂😂😂😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom