Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

App nzuri ya ku block calls uwe haupatikani kabisa sio iwe inasema namba inatumika ni ipi?
Kuna app inaitwa should I answer hii inafanya kazi kwa

1. Kuzuia simu zisiingie kwa kuzikata.
2. Kuzuia simu zisiingie (hapa zinaita kwao ila kwako hazitaita kabisa) look, inaonekana kama haupokei simu na sio unakata.
3. Kwa kujipokea yenyewe na kisha kukata.

Hii ni unaweza ukachagua namba moja au ukaweka namba zote ambazo hazijawa saved kwenye contact yako yani namba mpya.

Hii inamaanisha hata anayekupigia akitumia namba nyingine bado hatakupata.
Baadae unaweza ukaona namba zote ambazo zimekupigia kama utataka.
 
Kuna app inaitwa should I answer hii inafanya kazi kwa

1. Kuzuia simu zisiingie kwa kuzikata.
2. Kuzuia simu zisiingie (hapa zinaita kwao ila kwako hazitaita kabisa) look, inaonekana kama haupokei simu na sio unakata.
3. Kwa kujipokea yenyewe na kisha kukata.

Hii ni unaweza ukachagua namba moja au ukaweka namba zote ambazo hazijawa saved kwenye contact yako yani namba mpya.

Hii inamaanisha hata anayekupigia akitumia namba nyingine bado hatakupata.
Baadae unaweza ukaona namba zote ambazo zimekupigia kama utataka.
We mwanamke nilipanga kukulipia mahari ila na ahirisha..... Sio kwa ujasusi huu.
 
Kwa Upande Wa Security Avast Kwangu Ni Bora, Inakuwezesha Kuipata Simu Kma Imeibiwa Au Kupotea Kwa Kutumia App Yake Ya Anti- Theft. Ina Automatic Scan Unaset Kila Siku Muda Flan Inascan Simu Na Kukupa Repot Kma Kuna Tatizo/App Inayoweza Iathiri Simu Inakwambia. Kwa Upande Wa Music Kuna Music match Hii Inakuwezesha Kuplay Music Huku Ikidisplay Lycis Za Nyimbo Unayoplay, Pia Ina Music ID Inayokuwezesha Kuitambua Nyimbo Usiyoijua Ila Unaisikia May Be Unaitaka Labda Inapgwa Radion Ila Aujui Kaimba Nani Na Unaipenda Unaweka Music I'd Inakwambia Jina La Wimbo Na Muimbaj Hapo Hapo Inakupa Options Ya Kuudownload Huo Wimbo. Ina Option Ya Kucreat Card Via Lycis Inayodisplay Pindi Unapoplay Music. Kuna Tunein Radio Inakuwezesha Kusikiliza Radio Maeneo Ambayo Radio Ya Kawaida Aikamati Inazo Local Radio Zotee Pia Ina Radio Za Nje Kibao Na Zinazopga Miziki Ya Taratibu Ya Zamani Kuanzia Miaka Ya 80 Kuja Juu. Kuna App Nyingi Nzur Sanaa.
Music match inauzwa mdau tatizo hili
 
203b385bd7eff56909bf455ea988f36a.jpg

Hizi kwangu ndio kila kitu"

Insta Snapchat Twitter Na Tapatalk (Jf) hizo kama social media.
Whatsapp Hangout for sms conver

Zedge Kupata Wallpaper kali HD na ringtons.
Befunky kuedit pic na Photogrid kuresize photo kwa ajil ya Whatsapp dp and Instagram.

Poweramp kwa ajili ya music inanguvu sana.
MusixMatch for lyrics ukiplay music inadowload lyrics automatic
Videoder kudownload Videos mpaka mp3 direct from Youtube.
Opera as browser
Musix match inauzwa mdau nifanyaje niipate ya bure
 
Best App ni Luckypatcher.
-Lucky Patcher kwenye android itakusaidia , kuondoa matangazo,break different apps' Android Market License Confirmation or other Confirmations for the applications. Unahitaji kuwa rooted.

Mfano,uki download kitu program ambayo si premium kwenye Android baada ya kuinstall fungua lucky patcher tafuta hiyo program ,open menu of patches, patch utapata premium version.

Vile vile games zote you can hack them for free.
Kwangu inagoma kufungua iyo luck patcher mdau
 
Back
Top Bottom