Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nafikiri mawazo ya wadau waliotangulia hapo juu yanatosha kumaliza tatizo lako.Weka screenshot nione jinsi inavyokataa ku install, nitakuambia namna ya kufanya mkuu
...nikiwa nainstall inaonyesha kukubali lakini baada ya hapo inaandika App not installed mkuu...
 
App yangu nimetengeneza inaitwa Sweep.
Phone booster and junk cleaner, naomba muijaribu
Sweep: Phone Cleaner, Speed Boost & Master Cleaner - Apps on Google Play
Screenshot_20200624-073352.jpg
Screenshot_20200624-073406.jpg
 
APK ya VirtualXposed kutoka kwa virtualxposed.org ni moja ya programu bora ya mtu wa tatu katika mkusanyiko wangu wa programu ya Android. Inanisaidia kuendesha moduli za Xposed bila ufikiaji wa mizizi. Ni thabiti sana na rahisi kutumia (Haifadhili moduli zinazohusiana na mfumo). Natumai itasaidia mtu mwingine hapa pia.
 
54 Reactions
Reply
Back
Top Bottom