Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,920
- 2,187
Kama unatumia smartphone tafuta mark as spam kwenye contacts.Msaada naombeni kujua ni app ipi nzuri ntaweza kuitumia Ku Brock mtu akinipigia asinipate wala SMS akituma kwangu hazifiki
Kama unatumia smartphone tafuta mark as spam kwenye contacts.Msaada naombeni kujua ni app ipi nzuri ntaweza kuitumia Ku Brock mtu akinipigia asinipate wala SMS akituma kwangu hazifiki
Clear catcheNinatumia Tecno C9, Sasa Haitaki Kuchange Front Style, yaani Imegomea Kwenye Stylish style tu.
Hata Ukichange Haibadiliki.
Je Nifanyaje?
Hawa jamaa wana check kilaa muda ila mkuu si ulipie tu 4000 ule mambomwenye poweramp cracked naomba
maana hamna namna sasa.Hawa jamaa wana check kilaa muda ila mkuu si ulipie tu 4000 ule mambo
Wanachek License kila muda.... Lipa tu baba tena kwa tigopesa ni chapmaana hamna namna sasa.
Kama hiyo picha niliyoweka hapo kwenye avatar yangu niliichukuwa twitterWanajamvi kwema?
Wakuu naomba kujua app ya kutambua picha
Kwa mfano nachumua picha google sasa nakua sifahamu ilipigwa na nani na kuweza historia ya hiyo picha ilikuwa ya nani na nini umaarufu wake
Naomba kuwasilisha
Unaweza kunisaidia app uliyotumia kutengeneza hiyo logo yako
Unaweza kunisaidia app uliyotumia kutengeneza hiyo logo yako
App Lock nyingi zina hii feature. Angalia play store.Habari wakuu.
Naomba app nzuri ambayo mtu akifoji password ya simu au fingerprint inatuma picha ya mtu huyo na kwenye email.
Asanteni.
Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
NISIPOKUWA NAZO KUNA SHIDA?Hii ni list ya applications muhimu kuwa nazo kwenye simu ya android.
Hakuna shida kabisa, ni chaguo tu la mtuNISIPOKUWA NAZO KUNA SHIDA?
Uzuri wa kuangalia kwenye video ni kwa sababu maelezo zake tukiandika hapa itachukua page nzima, hata hivyo pole kwa kumaliza bundle yako ya internet.Zitaje tu kwani mpaka tuwekeane video za Youtube tumaliziane MB?