Nimetengeneza mimi mwenyewe! Zipo app zangu kibao play store bofya hapa https://play.google.com/store/apps/dev?id=6620987035265026854Acha utoto.! Sio lazima Upost kila kitu. Haya ni kampuni au mtu gani kaitengeneza hapa bongo?
Nimetengeneza mimi mwenyewe! Zipo app zangu kibao play store bofya hapa https://play.google.com/store/apps/dev?id=6620987035265026854Acha utoto.! Sio lazima Upost kila kitu. Haya ni kampuni au mtu gani kaitengeneza hapa bongo?
Open cameraMimi natafuta application yenye uwezo wa kurecord video huku ukitumia simu hiyo hiyo kupiga mziki nikiipata ntashukuru ..
Nimetengeneza mimi mwenyewe! Zipo app zangu kibao play store bofya hapa https://play.google.com/store/apps/dev?id=6620987035265026854
Mimi natafuta application yenye uwezo wa kurecord video huku ukitumia simu hiyo hiyo kupiga mziki nikiipata ntashukuru ..
Nimetengeneza mimi mwenyewe! Zipo app zangu kibao play store bofya hapa https://play.google.com/store/apps/dev?id=6620987035265026854
So Sorry Robby!!
Ukifuatilia michango yangu humu, utaikuta hii Apps nimeizungumzia kama moja ya App nzuti niitumiayo ktk Doc, so nina muda nayo sna na kila debice yangu haikosekani but mwanzo sikuipayia playstore thats whu sikujua ni product ya mtanzania.
Sorry Again Man, zaidi hii ni Bonge la App na unatusaidia sana kazi za docment.
Tupo pamoja.. Apps gani nyingine zilizopitia kivhwani mwako?
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Nimebofya hapo mbona hakuna app play storeNimetengeneza mimi mwenyewe! Zipo app zangu kibao play store bofya hapa https://play.google.com/store/apps/dev?id=6620987035265026854
Hiyo ni developer page nimefungua kweny simu inafunguka. Au ingia play store andika Robert Londo utaziona app zangu zoteNimebofya hapo mbona hakuna app play store
Duscreen recorder ipo play storeMimi natafuta application yenye uwezo wa kurecord video huku ukitumia simu hiyo hiyo kupiga mziki nikiipata ntashukuru ..
Nisaidie kuipata SDA Christ in song ile ya south ambayo unaweza kusearch nyimbo kwa namba ina lugha kama tano ndani... Nisaidie link kama unaweza... Yako naifahamu ila hii nimeipoteza na kila napoitafuta sifanikiwiUsijali kaka uliipata wapi? Sababu kuna watu wanatumia kazi za watu kujipatia hela kama kuna sehemu tofauti na play store niambie ili iondolewe
NishafunguaOpen camera
Jaribu kama ni hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tinashe.christInSongNisaidie kuipata SDA Christ in song ile ya south ambayo unaweza kusearch nyimbo kwa namba ina lugha kama tano ndani... Nisaidie link kama unaweza... Yako naifahamu ila hii nimeipoteza na kila napoitafuta sifanikiwi
Meipenda pia ila ttzo haina setting za kuibadili muonekano hata kidogohii ni kama haupendi mapicha picha kinyume na hapo itakua bored... ila una nafasi yakuipenda maana hizo icon za Apps zako zinageuzwa kuwa Majina tuu na yanajipanga Ki Alphabet.... then unakua una touch jina tuu then app inafunguka. kwahiyo ku touch Jina la App ni sawa na kui Touch Icon ya App kama ulivyozoea.
Ndo yenyewe mkuu, kumbe walibadili icon kila nikiicheki nikawa siipati
OkNdo yenyewe mkuu, kumbe walibadili icon kila nikiicheki nikawa siipati
Meipenda pia ila ttzo haina setting za kuibadili muonekano hata kidogo