Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mimi imenishinda..inahitaji uvumilivu kuizoeaa.

Sent by SangaweJr
hii ni kama haupendi mapicha picha kinyume na hapo itakua bored... ila una nafasi yakuipenda maana hizo icon za Apps zako zinageuzwa kuwa Majina tuu na yanajipanga Ki Alphabet.... then unakua una touch jina tuu then app inafunguka. kwahiyo ku touch Jina la App ni sawa na kui Touch Icon ya App kama ulivyozoea.
 
Wakuu natafuta app ya kublock sms kama ipo!
Yaani yeye asipate kabisa notification kama sms imesomwa au kufika
 
All PDF reader
App ya kibongo
Open any PDF file, reduce pdf file size, combine multiple pdfs and many more. All these features are available for free and offline.
Available on Google play
Click this link https://play.google.com/store/.../details?id=tz.co.wadau.allpdf
Screenshot_20190525-155209.jpeg
Screenshot_20190525-155159.jpeg
 
Jamani naomba msaada jinsi ya kufuatilia call na sms za ninaetaka kumchunguza.
Nina kijana mpya wa kazi sasa nyendo zake nina mashaka nazo. Simu niliyompa sii smart phone.
 
Jamani naomba msaada jinsi ya kufuatilia call na sms za ninaetaka kumchunguza.
Nina kijana mpya wa kazi sasa nyendo zake nina mashaka nazo. Simu niliyompa sii smart phone.
Hadi wewe uwe na smart pamoja na yeye ndo inakuwa rahisi
 
Mimi nina smartphone ila yeye hana.
Ana etel ya kawaida
Hapo ni ngumu lazima kwanza uweze kupata simu yake. Ili uweke hiyoo app ya kuchukua taarifa zote za simu yake. Hapo sasa either wewe uwe na pc au smartphone
 
Jamani naomba msaada jinsi ya kufuatilia call na sms za ninaetaka kumchunguza.
Nina kijana mpya wa kazi sasa nyendo zake nina mashaka nazo. Simu niliyompa sii smart phone.
roho mbaya hiyo mama muuza lete glass nyingine

"Alisikika mlevi akisema"
 
Back
Top Bottom