Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

mimi bhana napendaga sana sifa na kujifunza vitu hivyo huwa natumia app inayoitwa translator ambayo ina kila aina ya lugha na jins maandish yk yanavyotamkwa
 
Ahsante nashukuru ila bado kuna shida moja bado inasumbua.
Antivirus niliyo install katika simu yangu ina nionya mara kwa mara kuhusu king root. Na inanipa option ya kui unstall. Root imenipa mengi ila hili onyo nalifikiria mara mbili mbili.
Naomba kujuzwa jamani niki ignore hapatakuwa na madhara?
Nisaidie faida za kuroot cm
 
App niipendayo inaitwa jifunze mbinu za kilimo hii app ni noma unajifunza kila aina ya kilimo na ufugaji huwezi kuhitaji kumsumbua bwana Shamba ukiwa na app hii
Inanipa wepesi wakujua msimu gani unafaa kulima zao gani
 
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..

Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.

Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.

Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
Mkuu MOBDRO ni hatar me kila cku naenjoy NBA LEAGUE live ka niko marekani,,,,kwa wale wapenzi wa basketball inatufaa sana hii app
 
Tenzi za Rohoni App ipakue hapa kwenye Google play Tenzi za Rohoni - Android Apps on Google Play

Wcdl9V5p9-rtbBN511y9eL6z28vFuy_o6YrFlAjeLFsHtWGcSf-uG7snENjOY1Ykxyc=h900-rw

PHLZLFjhj7gzp6Kc8M4lYF1n2vvwD0fCTEZjKb8J-PGvKoUVQgaNE3k53vmEvTYi1g=h900-rw

NbfSfZBcymuHg9OV-n-y3HZo-9TK4FMN3ikAHKB0B7ThQ2IQmQz0Rv6BZKYj2w5qew=h900-rw

0yHjhzisaNMCdDrUF5e42aJSVXFgVV7yJCJEcAp443zIbV3IeOa6Qxzx_DEAJz_0Dg=h900-rw
Roby mkuu hujaniangusha tena hapa. Lakini naomba utoe add kwenye app zetu hizi ya bible na tenzi.

Pia Kama kuna mkusanyiko wa tenzi zikiwa zimeimbwa itafaa Sana hata kwenye YouTube please share the link.

Ubarikiwe Sana.
 
Unaweza nipa step za kuroot simu? Mimi yangu ni tecno H6
Nisaidie faida za kuroot cm
Unaweza nipa step za kuroot simu? Mimi yangu ni tecno H6

Wakuu naomba mnisaidie faida za kuroot simu, na ni apps gani za ziada ntakazo zipata baada ya kuroot na kwenye app gani ya kudwnld

Unaweza nipa step za kuroot simu? Mimi yangu ni tecno H6

Wakuu naomba mnisaidie faida za kuroot simu, na ni apps gani za ziada ntakazo zipata baada ya kuroot na kwenye app gani ya kudwnld

pitia hizo nyuzi hapo chini Android Phone without ROOT ACESS is like an African woman not bearing children
Jinsi ya ku root simu yako ya Android
 
Nard hk tena naomba msaada sam huawei 360 , inatabia ya ku sleep kila wakat. Napofungua kitu chochote pia huchelewa sana kutokea ktk screen, inaboa sana hta nakosa radha ya kutumia smart, ila internal space haijajaa shda nn? Pia inachemka sana
 
Unajua maana ya ku root?
Wadau mbona mie nimewezesha kingroot kwenye simu yangu. Na nimefungua play store root checker kwa ku install na ku verify root ikinipa congratulations ,root access properly installed on this device.
Ila sijaona ishara yeyote ya kuwa U'RE NOW A SUPERRUSER kwani superuser kutakua na icon yake? hadi nahisi huenda simu haijawa rooted.
Naomba msaada kutakua na tatizo gani wadau?
Ukitoot hakuna kinachibadilikaa kwenye icons..isipokua umekua

Nini unata baada ya rooted?''sim yako iko tayar rooted..Kuna kubadili vision baada ya rooted..pia unaweza kufuta apps ambazi mwanzo hukua na ruhusa ya kufanya hivyooo.. SO wewe uliroot ili ufanyaje....angalizio. Kuroot sim Alaf ukafanya update imekula kwako"
 
Anayejua ku unclock Call Barring anijuze maana nimejaribu #35*0000# imekataa, na nikajaribu manually inaniletea niingize password nikijaribu 1111 na 0000 zinakataa. Msaada plz
 
Roby mkuu hujaniangusha tena hapa. Lakini naomba utoe add kwenye app zetu hizi ya bible na tenzi.

Pia Kama kuna mkusanyiko wa tenzi zikiwa zimeimbwa itafaa Sana hata kwenye YouTube please share the link.

Ubarikiwe Sana.
Zipo nyingi YouTube ingia tafuta 'Tenzi za rohoni'
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom