Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

99fc814893a619eafbe25b86735b0891.jpg
 
Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..
mkuu ni channel gani inaonesha gem za uefa
 
Cm inakuwaa na speed isiyo ya kawaidaaa
Unauwezo wa kuweka apps nying ambazo km hujaroot huwezzm zipataaa na ni kaliii saanaaa
Stopping background apps
Converting downloaded apps into system storage
Naomba unielekeze jinsi ya kuconvert downloaded App iwe system storage App tafadhal.
 
54 Reactions
Reply
Back
Top Bottom