Thanx mkuu,naifanyia kazi hapa.GB unaipata google
Unapo install hiyo gb whatsapp. Ukidownload gb kwenye instruction pale juu unapo install huwa kuna options mbili 1 inakuuliza update 2. Inakuuli install all sasa chagua install all halafu endelea kama kawaida itakubali mkuu.Mbona mie Nina GB WhatsApp na nashindwa kuifanya iweze kutumia namba mbili nielekeze pia
Ebwane mi sijajua kuziunganisha line2 kwa whtsap moja ila natumia App 2 za whatsap kwa hiyo kila whatsap nimeiunganisha na namba yakeMkuu Shindu @Namwaka naomba nielekeze,kabla sijaziunganisha No zangu napaswa kudelete kwanza account zangu za zamani au niendelee.
PoaShukrani kaka nimeongeza na zangu nimeshafanikiwa.niliitamani sana hii kitu.
Tumia kingroot ni rahisi sanaaaNazani kesho ndio siku nzuri ya kuroot simu yangu ya tecno j7, nimeshajiuliza kwann nataka kuroot simu yangu, hivo naomba msaada kwa mtu mwenye experience na hii simu au anajua vizuri huo mchezo.
Shukrani mkuu, ila hapo bado hujanisaidia maana ata hiyo kingroot siijui na sijui inafanyeje kazi, hivo ningeomba maelekezo kidogo km hutojaliTumia kingroot ni rahisi sanaaa
Download kingroot kutoka google install fungua itaanza kuroot ikimaliza itakwambia nenda playstore download root checker halafu hakikisha kama imekuwa rootedShukrani mkuu, ila hapo bado hujanisaidia maana ata hiyo kingroot siijui na sijui inafanyeje kazi, hivo ningeomba maelekezo kidogo km hutojali
Pamoja mkuuDownload kingroot kutoka google install fungua itaanza kuroot ikimaliza itakwambia nenda playstore download root checker halafu hakikisha kama imekuwa rooted
Nimeroot simu yangu tecno j7 salama, nashkuru kwa michango yenu kukamilisha hili, naomba kujua jinsi ya ku upgrade Android version to lollipop. Pia nilipomaliza kuroot kuna application ya kichina imekuja, hii inaandika kichina tu hivo kufanya nisielewe inahusina na nn, kutokuijua kunafanya niogope kuiondoa, km unaijua nijuze mkuuPamoja mkuu
Hiyo unaweza kuiondoa haina shidaNimeroot simu yangu tecno j7 salama, nashkuru kwa michango yenu kukamilisha hili, naomba kujua jinsi ya ku upgrade Android version to lollipop. Pia nilipomaliza kuroot kuna application ya kichina imekuja, hii inaandika kichina tu hivo kufanya nisielewe inahusina na nn, kutokuijua kunafanya niogope kuiondoa, km unaijua nijuze mkuu
View attachment 341517
Naomba kujua kama ukiroot simu unapoteza persona data kwenye cmNimeroot simu yangu tecno j7 salama, nashkuru kwa michango yenu kukamilisha hili, naomba kujua jinsi ya ku upgrade Android version to lollipop. Pia nilipomaliza kuroot kuna application ya kichina imekuja, hii inaandika kichina tu hivo kufanya nisielewe inahusina na nn, kutokuijua kunafanya niogope kuiondoa, km unaijua nijuze mkuu
View attachment 341517
Japokuwa me pia sio mtaalamu wa haya mambo na nimeroot simu yng kwa kufata maelezo ya humu, ila sijapoteza data zozote kwakweli labda km process ya kuroot isipoenda vzrNaomba kujua kama ukiroot simu unapoteza persona data kwenye cm