Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu Shindu @Namwaka naomba nielekeze,kabla sijaziunganisha No zangu napaswa kudelete kwanza account zangu za zamani au niendelee.
 
Mbona mie Nina GB WhatsApp na nashindwa kuifanya iweze kutumia namba mbili nielekeze pia
Unapo install hiyo gb whatsapp. Ukidownload gb kwenye instruction pale juu unapo install huwa kuna options mbili 1 inakuuliza update 2. Inakuuli install all sasa chagua install all halafu endelea kama kawaida itakubali mkuu.
 
Nazani kesho ndio siku nzuri ya kuroot simu yangu ya tecno j7, nimeshajiuliza kwann nataka kuroot simu yangu, hivo naomba msaada kwa mtu mwenye experience na hii simu au anajua vizuri huo mchezo.
 
Shukrani mkuu, ila hapo bado hujanisaidia maana ata hiyo kingroot siijui na sijui inafanyeje kazi, hivo ningeomba maelekezo kidogo km hutojali
Download kingroot kutoka google install fungua itaanza kuroot ikimaliza itakwambia nenda playstore download root checker halafu hakikisha kama imekuwa rooted
 
Pamoja mkuu
Nimeroot simu yangu tecno j7 salama, nashkuru kwa michango yenu kukamilisha hili, naomba kujua jinsi ya ku upgrade Android version to lollipop. Pia nilipomaliza kuroot kuna application ya kichina imekuja, hii inaandika kichina tu hivo kufanya nisielewe inahusina na nn, kutokuijua kunafanya niogope kuiondoa, km unaijua nijuze mkuu
1461298222433.jpg
 
View attachment 341517
Hiyo unaweza kuiondoa haina shida
 
Wakuu naomba msaada Nina Tecno H6 inawaka lakini haimalizi logo ili iwake kabisa mafile yafunguke. Yani inajirudia rudia haiwaki moja kwa moja.
Naomba msaada wa mawazo kabla sijaipeleka kwa fundi.
 
Nimeroot simu yangu tecno j7 salama, nashkuru kwa michango yenu kukamilisha hili, naomba kujua jinsi ya ku upgrade Android version to lollipop. Pia nilipomaliza kuroot kuna application ya kichina imekuja, hii inaandika kichina tu hivo kufanya nisielewe inahusina na nn, kutokuijua kunafanya niogope kuiondoa, km unaijua nijuze mkuu
View attachment 341517
Naomba kujua kama ukiroot simu unapoteza persona data kwenye cm
 
Back
Top Bottom