Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu app yako ni nzuri ila ungeongezea tool ya kuselect portion kwenye page na kuimerge na portion nyingine kutoka page nyingine, na siyo kumerge page nzima au document nzima. Heshima kwako mkuu.
Asante kwa ushauri nitaangalia namna ya kuiweka hiyo
 
Screenshot_2018-08-09-19-18-42.png
Sim yangu inagoma kufungua play store nikifungua tu inaandika unfortinately Google play has stoped naweza fanyaje wakuu
 
Naombeni link ya Gb whats app, kwani whats aap yangu imegoma inataka ni appdet alaf link sina msaada jamani
 
Back
Top Bottom