Unatumiaje luckypatcher kuondoa matangazoKwa wale wanaopata advertisement yaani kifupi (ads) kwenye apps zao nyingi kama jamiiforum app kwenye simu watumie luckypatcher kuondoa hiyo anoying ads
Naomba ufafanuzi hizo gem za psp una download wap na una unzip vip...Nenda play store down load psp emulator
Zen download game za psp zilizo ktk mtindo wa zip
Zen una unzip unakula game kiulaini za psp
Naomba na image yake ina onekanaje play storeNenda play store down load psp emulator
Zen download game za psp zilizo ktk mtindo wa zip
Zen una unzip unakula game kiulaini za psp
Wewe ingia play store andika psp emulator yoyote itakayokuja download then download unzip application ukisha vipata bitu hivi. Ingia ktk browser yako yoyote ingia google andika freeroms. Fungua iyo site zen pembeni kwenye rangi ya blue kuna kila aina ya consoler game chagua portable plastation game zen ingia kwenye izo Alphabet chagua game unalotaka download zen unzip. EnjoyNaomba na image yake ina onekanaje play store
Sent from my SM-G800H using JamiiForums mobile app
kuna njia hizi
-kingroot,kingoroot,towelroot na iroot
-UPDATE supersu.zip(flash recovery)
-updating os and substitute it with new rooted os
-framaroot
-root genius na nyengine nyingi
MBONA UPO NYUMA KIASI HICHO AU HAUJUI KUWA KINGROOT WAMEIFANYIA MODIFICATION NA INAROOT MPAKA NOURGAT? NAONA KAMA UNALETA CHALLENGES ZISIZO NA MAANA HEBU TUANZE KWANZA NA NJIA FUUUPI HALAFU ZIKIKATAAAA NDO TUJE REFU ZA PC "KAA KWA KUTULIA WACHA POVU"Acha mbwembwe, si kila simu unaweza kuiroot kirahisirahisi hivyo, mushomallow ambazo hazina custom rom huwezi kuziroot mpaka uwe na PC unamsaidia mtu jaribu kumpa options nyingi ili ajipime yupo katika option gani, unaleta mbwembwe nyingi kumbe upo palepale
ni simple kama unayo lucky patcher fuata procedure hiziUnatumiaje luckypatcher kuondoa matangazo
Sent from my SM-G800H using JamiiForums mobile app
Root hiyo simu kisha ondoa baadhi ya pre install app.
kuna njia moja ya kutumia external memory card kama rom ila inabidi uwe unatumia android mashmallow kama sio mashmallow itabidi tu u root simu kiasha uondoe blotwareRoot hiyo simu kisha ondoa baadhi ya pre install app.
Simple way.
Hans Pol
Hapa sijaelewa vzur kweny kupatch games,, Unaenda kwenye file data na obb halaf unaedit na kurename ile game ambayo umepatch au??? Mfano labda umekuta www.ftsworldgame.com unafanyej sasa hapo???Fanya hivi download apps yako ambayo siyo premium version kisha install hiyo app tuchukulie mfano labda jetaudio basic version ambayo haina option nyingi download luckypatcher (hii haipo playstore kwa kuwa inapinga sheria za google kwa hiyo ingia google search kisha andika luckypatcher apk kisha zitakuja links nyingiii ingia moja wapo kisha download) install luckypatcher(kumbuka sio lazima u root simu ndiyo utimie luckypatcher unaweza tumia hivyo hivyo bila root ila kwa option nyingi zaidi kama unamahitajio nazo na unaju unachokifanya basi unaweza kuroot simu mimi binafsi sijaroot simu) baada ya kuinstall ifungue kisha zitakuja apps zako zote ndani ya simu yako kisha tafuta apps yako unayotaka kuipatch nilikwambia tuchukulie jet audio basic version sasa itafute hiyo jet audio kisha iguse itakuletea option hizi(app info,launch app,open menu of patches,tools,uninstall app,manage the app) gusa hiyo open menu of patches itakuletea hivi (create modified apk) iguse hiyo option kisha italeta hizi options (custompatch-applied apk,apk without lisence verification,apk without google ads,apkrebuilt for in app and lvl emulation,apk with changed permissions and activities) gusa option hii custompatch-applied apk kisha zitafunguka patch husika gusa moja moja ili kisoma na kujua ipi unahitaji kwa mfano mm kwenye jetaudio basic version utaona patches ambazo ukiziinstall yaani kuziapply hapo apk yako itakuwa premium version yaani hizo apk yako kimuonekano itakuwa hivyo hivyo basic lakini inakuwa na opptions za PREMIUM version kwa hiyo kwa lugha rahisi itakuwa premium tu
:kwa wanaopenda kucheat magemu :
Fuateni maelezo hayo hapo juu ila kwenye apps yako kama ni gemu ukishaligusa option za mwanzo zitakazo kuja gusa hii (apk rebuilt for in app and lvl emulations ) kisha itakuletea option ya mbele iguse na uendelee kisha itaload kwa muda na kukuambia kama imefinish kisha gusa go to apk na utaiona iguse kisha gusa (unistall and install) hapo apk ya mwanzo itafutika na mpya itajiinstall kisha kama utaenda kwenye gemu lako husika na ulikuwa labda unataka coins utagusa tu kwenye coins na itafunguka option window ya luckyptcher ikubali na coins ulizochagua zitaonhezeka na utaweza kuzitumia
:angalizo:
Kama ni magemu ambayo yanahifadhi data kwa cache files (nadhani magemu mengi mapya yanafanya hii ki2) wkati wa kuinstall hiyo patched apk hiyo cache pia itafutika kwa hiyo cha kufanya kabla haujapatch hiyo apk nenda kwenye directory hii kwa kutumia zip exlore yyte napendelea sana hii (ESfile explore ipo playstore) fungua hiyo file explore italeta phone storage au external storage chagua phone storage kisha nenda kwa mafaili haya (android/obb/kisha utakuta mafaili ya magemu yako chagua limoja ambalo apk file yake unaenda kuedit kisha rename hili file kwa kuongeza herufi moja yyte ile kisha nenda kaedit kwa lucky patcher
Mbona inazingua kukonect nipe maelekezo yakuitumia mkuu
WiFi MAP
Hii app inapatikana Playstore..
Ni nzuri sana..
Inaonyesha wireless zilizo near or far na wewe.. Na kama ina password inaonyesha na password ya hiyo Wireless...
Note.. : sio wireless zote zinaonekana kwenye hapa....
Mfano nili try hii ya unaweza kuona hapa chini.
Ya chuo kimoja hapa mjini.
It's very good App..
Note: do at ur own risk..
haurename lile file ambalo umepatch ni kuwa kila heavy application especialy games za androids huwa zinakuwa na additional file mbalo hukaaa kwenye folder husika hii ni huwasaidia manufactures kuokoa muda wa kutengeneza apk ambayo ni heavy mwishowe ishindwe kusoma kwenye baadhi ya simu ambazo hazina uwezo mkuubwa sana.Hapa sijaelewa vzur kweny kupatch games,, Unaenda kwenye file data na obb halaf unaedit na kurename ile game ambayo umepatch au??? Mfano labda umekuta www.ftsworldgame.com unafanyej sasa hapo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu wangu,,, nimefanya zoez mpka mwisho nimefanikiwa,,,, lakin shida ni hii nimeenda mpka kuchukua coin imeload ww kamekuja kale ka mesej ka patcher kenye yes na No, nimeweka yes lakn imeload bdae inaniambia validity purchase is 0,shida n nn???haurename lile file ambalo umepatch ni kuwa kila heavy application especialy games za androids huwa zinakuwa na additional file mbalo hukaaa kwenye folder husika hii ni huwasaidia manufactures kuokoa muda wa kutengeneza apk ambayo ni heavy mwishowe ishindwe kusoma kwenye baadhi ya simu ambazo hazina uwezo mkuubwa sana.
na hata hivyo file hilo sasa huwa linakaa kwenye directory hii( Android/obb) kwenye upande wa simu yaani internal storage ambapo simu nyingi hutumia kama common storage na huwa file hizo zina muundo huu kwa mfano game la batman the dark knight rises huwa hivi (com.gameloft.android.ANMP.GloftKRHM) na hukaa kwenye directory niliyoweka hapo juu sasa ikayokea ukafuta apk file na hilo folder lako lazima lifutike kwa kuwa huwa linajilink kama file moja sasa ili kuepusha kufutika kwa folder lako (au wengine huita cache file) ambalo huwaga lina size kubwa kuliko APK file yake either uedit jina la hilo folder kwa kuongeza herufi moja mwishoni mwa folder lako ambapo ita kata ile link na APK file hivyo kupelekea ukifuta APK file basi folder haliusiki kufutika n.k
SASA TUJE HAPA
sasa kama ulipatch apk file yako na unajua kabisa kuwa ina file ambalo lipo kwenye directory husika afu ukainstall ile apk file definitely itakataa kujiinstall mpaka ufute ile ya mwanzo na ku install mpya(hiyo uliyo patch)sasa utakapo futa hiyo ya zamani ( unpatched) basi na lile folder nalo litafutika kwa hivyo ili kuepusha hii ninlazima uedit lile folder kisha ndo ufute ile apk kisha uka edit tena lile folder(kwa kufuta ile herufi uliyoongeza) baaada ya kuinstall ile (patched) apk nafikiri umenielewa sasa mkuu.
hili tatizo sio kwako tu bali hata mm limeshanikuta kwenye baadhi ya games ambapo apk inakubali ku patch lakini nikitaka ki hack niongeze coins inagoma nadhani hii inatokea kwenye apks nyingi za miaka ya hivi karibuni ambapo mqmbo ya security kwenye apps yamekuwa makubwa mno .Nimekuelewa mkuu wangu,,, nimefanya zoez mpka mwisho nimefanikiwa,,,, lakin shida ni hii nimeenda mpka kuchukua coin imeload ww kamekuja kale ka mesej ka patcher kenye yes na No, nimeweka yes lakn imeload bdae inaniambia validity purchase is 0,shida n nn???
Sent using Jamii Forums mobile app