Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu sana nimeona asante mnoo sasa rekebisha kwanza.

Nita share watu waipate hii bible app fr now nibora kuliko zingine. Ushauri kama unaweza kuadd pia kiingereza labda..
App updated click here to update Biblia Takatifu - Kiswahili - Android Apps on Google Play
Sasa Tafuta inaonekana kirahisi ipo kwenye menu pia inasupport kuanzia android 4.2
5a690167cea2fc27a5bdd3156ca00865.jpg

b689d13599cf53ad6542a45a74caf14d.jpg

661daa7e8af89b126b91159c4828aa53.jpg
 
Simu yangu iko rooted sasa nashangaa mara kwa mara indicator light ina indicate red light nashandwa kuelewa inaashiria nini.
Natamani ni unroot japo nimeona manufaa kwa kui root.
Wataalamu hebu tusaidiane indication hii inamaanisha nini?
 
Hiyo red light inakuwa wapi mkuu?
 
Simu yangu iko rooted sasa nashangaa mara kwa mara indicator light ina indicate red light nashandwa kuelewa inaashiria nini.
Natamani ni unroot japo nimeona manufaa kwa kui root.
Wataalamu hebu tusaidiane indication hii inamaanisha nini?
Unatumia samsung???
 
App updated click here to update Biblia Takatifu - Kiswahili - Android Apps on Google Play
Sasa Tafuta inaonekana kirahisi ipo kwenye menu pia inasupport kuanzia android 4.2
5a690167cea2fc27a5bdd3156ca00865.jpg

b689d13599cf53ad6542a45a74caf14d.jpg

661daa7e8af89b126b91159c4828aa53.jpg
Hiyo app ya bible ni nzuri naona umerahisisha sana hasa hapo kwenye option ya kusearch ubarikiwe
.
Unaweza kucheki pia app nyingine ya nyimbo za injili yenye vitabu vitatu ikiwemo na tenzi za rohoni
Inaitwa nyimbo za kikristo ipo playstore
 
Attachments

  • Screenshot_2017-04-23-12-10-20.png
    Screenshot_2017-04-23-12-10-20.png
    422 KB · Views: 60
  • Screenshot_2017-04-23-12-10-33.png
    Screenshot_2017-04-23-12-10-33.png
    136.9 KB · Views: 65
Hiyo app ya bible ni nzuri naona umerahisisha sana hasa hapo kwenye option ya kusearch ubarikiwe
.
Unaweza kucheki pia app nyingine ya nyimbo za injili yenye vitabu vitatu ikiwemo na tenzi za rohoni
Inaitwa nyimbo za kikristo ipo playstore
Thanks!
 
Inakuwa kwenye ile ile sehemu ya indicate ya batry au new notification mkuu
Unaweza kuweka hapa screen shot maana baadhi ya samsung ukiiroot inaketa vialama fulani hivi vya pembe tatu.(red triangle)
Sasa kama ndo hivyo useme tukuelekeze jinsi ya kuondoa
 
Sasa hii Huawei mkuu indicator light ipo juu kabisa mwa screen haiwezi kuwa sehemu ya screen shoot. Yaani ni kale ka duara ka juu kabisa kanakoonyesha red kama battery iko low au green kama battery inakaribia kujaa.
 
Nina sim ya tecno y2 yani nikiitazama screen sana macho yanauma sana alafu mwanga nimepunguza mpaka mwisho sijui tatizo ni nini,
Naombeni msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kusolve hii ishu
 
Mkuu unataka kusema tatizo ni hiyo simu.
Labda utuambie hiyo hali inakutokea ukiwa na hiyo simu tu au simu yoyote.
Pili umeshafanya vipimo vya macho?
Yawezekana unatatizo la macho.
 
.
Sasa hii Huawei mkuu indicator light ipo juu kabisa mwa screen haiwezi kuwa sehemu ya screen shoot. Yaani ni kale ka duara ka juu kabisa kanakoonyesha red kama battery iko low au green kama battery inakaribia kujaa.
Hiyo indicator huwa inakujulisha notification?
Mfano text za whatsapp, so ume set red light maybe
 
Ahsante nashukuru ila bado kuna shida moja bado inasumbua.
Antivirus niliyo install katika simu yangu ina nionya mara kwa mara kuhusu king root. Na inanipa option ya kui unstall. Root imenipa mengi ila hili onyo nalifikiria mara mbili mbili.
Naomba kujuzwa jamani niki ignore hapatakuwa na madhara?
 
Back
Top Bottom