Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,848
- 2,670
Huu ndio ukweli. Juu ya mwamba huu (ushindi wa upinzani majimboni) tuko katika maandalizi ya dhati ya kujenga taifa la kudumu. Jk analenga urais tu kwa sasa ila udiwani na ubunge kavisusia kwa upinzani. Lakini tungoje matokeo yote ya bara kwanza