Tushinde tusishinde tumeweka msingi imara wa zege la KOKOTO! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tushinde tusishinde tumeweka msingi imara wa zege la KOKOTO!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Raia Fulani, Nov 1, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Huu ndio ukweli. Juu ya mwamba huu (ushindi wa upinzani majimboni) tuko katika maandalizi ya dhati ya kujenga taifa la kudumu. Jk analenga urais tu kwa sasa ila udiwani na ubunge kavisusia kwa upinzani. Lakini tungoje matokeo yote ya bara kwanza
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kinachonikuna kuliko vyote mkuu ni kwamba hata tukishindwa sasa tuna opposition party ya ukweli, yale mambo ya mtiririko wa mivyama naona ndiyo mwisho wake huu hasa ukizingatia walihongwa eti wamejitoa kumsapoti JK
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu. Tanzania ya kesho si ile ya miaka 5 au 40 iliyopita!
   
 4. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hata Jk akiiingia madarakani kwa hila za hapa na pale, Jibu wameshalipata kwamba wananchi wamemkataa!
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Na si kidogo. Asubiri shubiri ya awamu hii tu
   
 6. r

  rmb JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  naamini huu ni mwanzo mzuri wa Tz ya kesho
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  eee bwana ndio e bwana Quality >>go gooooooooooooooooooooo Chadema ..furaha niliyo nayo leo
   
 8. c

  collezione JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jk hawezi kushinda hata kwa dawa....pipo msikate tamaa
   
 9. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Aminia
   
 10. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wa bunge wa upinzani wakiwawengi basi hata rais hatakaa. Wanaweza piga kura yakutokuwa na imani na rais.
   
 11. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kila siku nilikuwa na imani na Tanzania,mambo yetu polepole lkn kwa dhati.nadhani hii imekuwa njia nzuri ya kujenga mfumo dhabiti wa siasa...and now no turning back
   
 12. Kakungulume

  Kakungulume JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 212
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Tanzania hureeeeeee, kumekucha!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yaani tumeweka msingi imara wa kokoto la zege kwa ajili ya 2015
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jamani mbona simsikii Makamba
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  yuko lushoto na january wanatafakari magumu yaliyo mbele yao
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mkapa katupa msamiati mpya wa upinzani-KOKOTO. hajui uimara wa kokoto?
   
 17. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Napata faraja, angalau kura yangu imetoa mwanga, am so haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wamechakachua sana matokeo ya urais hawa watu. Nilidhani jk aliposema hakuna wizi wa kura nilidhani ni mkweli. SHAME ON KIKWETE AND CCM! F......K!!!!
   
 19. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani kushikilia 80% ya viti vya ubunge kwenye bunge lenye viti 239 vya kuchaguliwa ndiyo sawa na kusema "udiwani na ubunge kavisusia"?

  Embu angalia takwimu halafu ndiyo muwe mnafungua midomo yenu. :bowl:
   
Loading...