kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Je kama umeoa na bahati mbaya sehemu yako nyeti ni ndogo sana, je mkeo akidai talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa. Au mkeo sehemu zake nyeti ni kubwa sana je mmewe akiomba talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa.
Ukizingatia sheria za dini na maadili aziruhusu kupimana mpaka ndoa
Ukizingatia sheria za dini na maadili aziruhusu kupimana mpaka ndoa