dropingcoco
Senior Member
- Jun 21, 2008
- 124
- 11
Wadau nimeona si vibaya kuweka hizi namba hapa, ili kila mmoja atakaependa aweze kuzisave kwenye simu yake kwa ajili ya dharura. Namba hizi ni za jeshi la polisi wa usalama barabarani.
Kutokana na ajali hizi za kila siku ni vema kama watanzania tukashiriki katika kujali usalama wa maisha yetu. Popote pale ulipo au utakapokuwepo katika chombo cha usafiri na ukaona huridhiki na matendo ya dereva, basi piga namba mojawapo au unaweza kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwenda 0682 887722 au 0713 631780 ili kutoa taarifa.
Kwa pamoja tukishirikiana tunaweza kudhibiti hali hii ya ajali za barabarani.