zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 10,140
- 21,447
wacha ishuke wapigwe 5 nyingine mie ndo furaha yanguMo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
wacha ishuke wapigwe 5 nyingine mie ndo furaha yanguMo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Huko kwenu mkitangaziwa wazembe watafukuzwa kazi morali inashuka??Mo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Ila Vyura hawapo.. wapo kwenye vi maji vya beseni la michangoKwenye msafara wa mamba ...kenge wapo
Hata wa Ndanda. Yanga wajanja sana. Wanaonyesha nia tu, jamaa wanawahi kusajili. Achana wawarundike.Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
Roho inawauma eeeh...mnataka waje Yanga wafe njaa...but hizi kelele kuanzia tarehe 16 hatutazisikia tenaHata wa Ndanda. Yanga wajanja sana. Wanaonyesha nia tu, jamaa wanawahi kusajili. Achana wawarundike.
Mkumbuke hii ni last 16 ya mabingwa wa Africa. Timu kutoka ligi zaidi ya 50 zilishiriki, zimebaki timu kutoka ligi kama 10 hivi. Simba ni kidume
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu muhimu mechi dhidi ya Yanga tarehe 16 Kuliko ya All Ahly tarehe 12.Roho inawauma eeeh...mnataka waje Yanga wafe njaa...but hizi kelele kuanzia tarehe 16 hatutazisikia tena
Ndio maana wanaitwa mbumbumbuKwenu muhimu mechi dhidi ya Yanga tarehe 16 Kuliko ya All Ahly tarehe 12.
Hili zuri kwa Yanga. Kuleni tano nyingine za Al Ahly, halafu tuonane 16
Mikia bhanaIlitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
HahahaRamadhan Sobhi ndani hahaahah leo underdõg anapigwa kwao nyingi
Watanena kwa lugha sio lughaSimba leo mtanena lugha zote ila kifo kipo palepale.
Tushakula tano tunawasubiri nyinyi tarehe 16 tuwafirimbeKwenu muhimu mechi dhidi ya Yanga tarehe 16 Kuliko ya All Ahly tarehe 12.
Hili zuri kwa Yanga. Kuleni tano nyingine za Al Ahly, halafu tuonane 16