Tushangae pamoja na kisha tutafakari pamoja ' Maajabu ' ya huko nchini Swaziland na Iran

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Swaziland:

Mfalme wa nchi hiyo ametangaza rasmi kuwa Kuanzia mwezi June 2019 anataka Wanaume wote waliofikisha Umri wa Kuoa wafanye hivyo haraka na kwa Kuoa si tu Mwanamke Mmoja bali wawe ni Wanawake Wawili na asiyefanya hivyo ajiandae kwenda kuyaanza Maisha yake rasmi Gerezani.

Iran:

Mamlaka ya nchini humo imepiga Marufuku ya Wanaume wa nchi hiyo ' Kuwaangalia ' Wanawake wakati wakati wa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Na kama haitoshi Mamlaka hiyo hiyo tena imepiga Marufuku Watu Kula hadharani wakati wa Mwezi huu na Kubwa zaidi Mamlaka hiyo hiyo imepiga Marufuku Wamiliki wote wa Magari nchini humo Kupiga Muziki ndani ya Magari yao hayo kwa Kipindi hiki.

Nawasilisha.
 
ya swaziland na sisi wapi na wapi mkuu? tuendelee kupambana na yetu

Siku zingine kama unaona labda ' Uzi ' fulani hujaupenda au ' Stress ' zako za Maisha zimekuzidi basi usipoteze hata muda wako Kuufungua sawa? Pumbavu.
 
Ukivutaga bange zako sijui unakuwaje. Sasa ulitaka jamaa akujibu nini ndio ufurahi. Kila mtu ana maoni yake paka weee. Nyie mkiingia madarakani ndio huwa mnataka mapambio tu ya kuwasifia kila kitu. Kila mtu ana maoni yake
Siku zingine kama unaona labda ' Uzi ' fulani hujaupenda au ' Stress ' zako za Maisha zimekuzidi basi usipoteze hata muda wako Kuufungua sawa? Pumbavu.
 
Swaziland:

Mfalme wa nchi hiyo ametangaza rasmi kuwa Kuanzia mwezi June 2019 anataka Wanaume wote waliofikisha Umri wa Kuoa wafanye hivyo haraka na kwa Kuoa si tu Mwanamke Mmoja bali wawe ni Wanawake Wawili na asiyefanya hivyo ajiandae kwenda kuyaanza Maisha yake rasmi Gerezani.

Iran:

Mamlaka ya nchini humo imepiga Marufuku ya Wanaume wa nchi hiyo ' Kuwaangalia ' Wanawake wakati wakati wa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Na kama haitoshi Mamlaka hiyo hiyo tena imepiga Marufuku Watu Kula hadharani wakati wa Mwezi huu na Kubwa zaidi Mamlaka hiyo hiyo imepiga Marufuku Wamiliki wote wa Magari nchini humo Kupiga Muziki ndani ya Magari yao hayo kwa Kipindi hiki.

Nawasilisha.
Kabla ya kushangaa hayo Ni vema tuanze kukushangaa wew Kwanza,
Mla bangi
 
Unashidwa kushangaa jinsi jiwe na genge lake linavyo tuharibia nchi wewe na shangaa mambo ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom