Tusemezane: Waziri wetu wa Mambo ya Nje,Prof.Kabudi amekosea nini na wapi kwenye hotuba yake kule Kenya? 'Washika bango' mnajijengea mazoea mabaya

Siasa nyingi za majukwaani zina tija kwa wanasiasa wenyewe wakiukuza umaarufu wao lakini kwa mwananchi wa kawaida hazina tija.

Hii spirit ya msisitizo wa kufanya kazi haikuwa ni sehemu yetu ya maisha ya kila siku, tulizoeshwa hadaa za kisiasa.
Ningumu sana kuelewa. Mwisho wa siku unaitwa wa buku saba. Ila tutafika tu. Natumaini miaka mitano iliyobaki tutasonga kwa kiasi
 
Back
Top Bottom