ukishakuwa verfied member humu unakuwa mtumwa wa fikra kwa ajili ya utawala wa awamu ya 5.Naunga mkono hoja. Kuna watu humu ni pinga pinga, wao kazi yao ni kukosoa tuu kila kitu na kupinga kila kitu, ukiwasahihisha, hawachelewi kukuita gamba, na ukisifia jema lolote la awamu hii, huchelewi kunyooshewa kidole kuwa unatafuta uteuzi.
P.