THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,367
- 12,822
Its a shame kwa baadhi ya wale wanaojiita wenyewe ni waislam kushindwa kusimama na kuusem ukweli na kuitangaza dini yao,
Kushindwa kusimama na kuutangazia umma wa ulimwengu uhalisia wa mambo na kuwaeleza kuwa ni wakati wa kuacha kumezesha watu propaganda zilizofikia kikomo,
UN CHARTER inatambua na kuruhusu haki ya self defence to inviduals or to the community,
Ukiangalia hali inavyokwenda kwa sasa ulimwenguni kila leo utaskia umwagaji wa damu maeneo mbali mbali unaosababishwa na sectarian violences au hali mbadala kama kugombania madaraka,rasilimali na kadhalika,
Wapo wanaouana wenyewe kwa wenyewe,wapo wanaouana jamii mbali mbali tofaut na kadhalika,
Baada ya tukio la sept 11 kutokea president George W. Bush alisimama na counter part wake Tony Blair na kutangaza vita vya waz waz dhidi ya wahusika wa tukio lile,na kama hiyo haitoshi alitangaza kwamba hiyo ni vita dhidi ya ugaid na magaid dunian..
Alifikia hatua ya kuutangazia umma kwamba ima uko pamoja nao,au uko against nao kila jumuiya ya kimataifa sharti ijiweke waz msimamo wao kati ya kuungana nao au kupingana nao katika harakati hizo,
Tukaona sheria mbali mbali zikipitishwa katika mabunge yetu,nayo ni sheria mpya ya kupambana na ugaidi na magaidi,,
Baada ya hapo tukaona moja kwa moja uvamiz wa nchi za middle east kutoka kwa america kwa vigezo kwamba nchi hizo zinamiliki silaha za maangamiz na zinawaficha wahusika wa shambulio la SEPT 11 huko america,,,
Taratibu kabisa picha likabadilika,vita dhidi ya ugaid haikuwekwa wazi kwamba nani hasa ni gaidi,ikaja kuonekana wazi waz kabisa either mtu mwenye kuonekana una shahabiana na waarabu au unaonekana una iman flan yenye asili ya uarabuni basi ni SUSPECT,na kwa namna moja ama nyingine utakuwa na case ya kujibu..
AMERICA bila idhini ya BARAZA LA USALAMA la UMOJA WA MATAIFA,bila ushahid wa umiliki wa silaha za nyuklia kwa nchi za middle east,bila ushahid wa kuwa wanahusika na kuwahifadhi hao wanawatuhumu kwa ugaid wakadeploy majeshi yao na kuvamia nchi za middle east na kumwaga damu za raia wengi wasio na hatia,maelfu kwa maelfu,
Kina mama na watoto,wazee na walemavu,ukiachilia mbali ya kwamba raia wale hawajafanya chochote na hawahusiki chochote na tukio la SEPT 11 hawakujli,hawakuskia na wakazidisha jeuri dhid ya wanadamu wale maskini,,,
Miongoni mwa wale wahanga wa umwagaji damu huo wa marekani na washirika wake,wakiamua kufanya retaliation na kujilinda uhai wao na uhai wa familia zao wanaambiwa ni magaidi na wana case ya kujibu na kupelekwa guanatamo bay,abughreib na secret detention camps zingine dunian,,,,
Hali ikazid kuwa mbaya zaid kwani kipindi umwaaji damu huo unaendelea tukashuhudia mission nyingine ya kuchukua rasimali mafuta kutoka nchi hizo kwa lazima na ubabe wa hali ya juu,na hakuna dunian aliesimama kidete kuzungumzia kadhia kama ile na kusikika hadi hivi sasa tunavyozungumza...
Kila mwenye akili timamu anajua kwamba Hakukuwa na silaha za maangamiz na huyo Osama bin laden ni hao wenyewe marekani walimtengeneza kipindi wanapigana vita ya kuindoa USSR middle east kipindi kile,baada sasa ya kuona mission yao imekamilika na kuhitilafiana nae kwa makubaliano yao wakaona gia iliyobakia na kumtumia kwa njia ya kwamba amehusika na SEPT 11 kisha kuwabebesha maelfu ya middle east mzgo wa lawama pamoja na iman ambayo huyo bin laden anabelong pasi na kujali uhalisia wa mafundisho ya iman hiyo...
Ukiangalia sheria za UN haki ya self defence ipo na inaruhusiwa kwa wale wanaonekana kugharimika wanapovamiwa katika maeneo yao,iweje sasa watu hao wanaporeact katika kujidefend waitwe magaid??nin hasa tafsir ya ugaid,na nani ni gaid kati ya yule alievuka mipaka ya nchi yake kwenda kumwaga damu katika nchi ya kigeni na yule ambae yuko nchin mwake anaejaribu kujilinda??
Kama hiyo haitoshi marekani baada ya kuondoka kwake iraq na middle east taratibuuu akatengeneza fitna ya sectarian violence baina ya suni na shia na kuwaachia dhahma ya umwagaji damu ya wenyewe kwa wenyewe huku wao wakiendelea na utaratibu wao wa kuchukua mafuta na kuupaka matope uislam kwamba ni tatizo thats why unashindwa kuleta aman hata katika maeneo hayo,hiyo ni sawa??,,,
Watu fulani,au jamii fulani inapaondamwa na madhila mbali mbali na inapoamua kujilinda na kulinda uhai na amani yao,wasiitwe magaidi au wakorofi,waangaliwe kwa usawa na yule aliewafuata katika maeneo yao na haki yao kisheria ya kufuatwa katika maeneo yao,wanapojilinda ni haki yao,kama vile ilivyokubaliwa kwenye UN CHARTER basi ikubaliwe kwenye uhalisia wa kimaisha pia,,,,
Tukisimama ukweli na kuipa haki nafasi yake na kuupinga unyonge tutaifanya dunia kuwa sehemu njema ya kuishi.