TUSEME UKWELI TU Jamani! UTACHAGUA NINI KATI YA HIVI!

Mr Mp galos

Member
Dec 9, 2018
28
48
Wanaume tuongee ukweli tu! Kwa upande wangu mimi hapo Miss angenisamehe tu! Nitatafuta mwingine
IMG-20190512-WA0000.jpeg
 
Wanaume tuongee ukweli tu! Kwa upande wangu mimi hapo Miss angenisamehe tu! Nitatafuta mwingine View attachment 1095772
Kwa mujibu wa picha nna mitazamo miwili.

Pesa hapo ina uzito wa kawaida sana kiasi kwamba naziunganisha na huyo binti nawatoa wote inawezekana.

Au nalirusha zigo la pesa nje huko alafu namchukua binti.

Au naziacha pesa zotumbukie kwa sababu mamba hawali pesa ntamwokoa binti alafu nafanya mchakato wa kuziokoa pesa kabla hazijalowa na kuzama.

Lakini pia ubinadamu unathaminiwa sana kuliko makaratasi.
 
Hahaaaaaaaah!! Chagua moja tu!

Kama duniani pamebakiwa na Ke yeye pekee nitaachana na Ke nitachukua 20 billions lkn tofauti na hapo ni vigumu sana kuacha pesa na kuokoa Ke labda niwe na hofu ya Mungu pekee.
 
Kama duniani hapajabakiwa na Ke yeye pekee nitaachana na Ke nitachukua 20 billions lkn tofauti na hapo ni vigumu sana kuacha pesa na kuokoa Ke labda niwe na hofu ya Mungu pekee.
 
Back
Top Bottom