Mr Mp galos
Member
- Dec 9, 2018
- 28
- 48
Wanaume tuongee ukweli tu! Kwa upande wangu mimi hapo Miss angenisamehe tu! Nitatafuta mwingine
Kwa mujibu wa picha nna mitazamo miwili.Wanaume tuongee ukweli tu! Kwa upande wangu mimi hapo Miss angenisamehe tu! Nitatafuta mwingine View attachment 1095772
Kwa mujibu wa picha nna mitazamo miwili.
Pesa hapo ina uzito wa kawaida sana kiasi kwamba naziunganisha na huyo binti nawatoa wote inawezekana.
Au nalirusha zigo la pesa nje huko alafu namchukua binti.
Au naziacha pesa zotumbukie kwa sababu mamba hawali pesa ntamwokoa binti alafu nafanya mchakato wa kuziokoa pesa kabla hazijalowa na kuzama.
Lakini pia ubinadamu unathaminiwa sana kuliko makaratasi.
Kwa jinsi picha ilivyo unaweza kuwaokoa wote hapo pasipo shaka..Utu mbele kwanza.
Ukweli mchungu, naokoa begiWanaume tuongee ukweli tu! Kwa upande wangu mimi hapo Miss angenisamehe tu! Nitatafuta mwingine View attachment 1095772
Nitambeba MwanamkeUkiambiwa chagua kimojawapo
Ukweli mchungu, naokoa begi
Kama duniani hapajabakiwa na Ke yeye pekee nitaachana na Ke nitachukua 20 billions lkn tofauti na hapo ni vigumu sana kuacha pesa na kuokoa Ke labda niwe na hofu ya Mungu pekee.
Inawezekana piaNitambeba Mwanamke
Hahha mkuu utalazimishaje nicjague moja wakati mazingira yanaruhusu kuchagua yote a the same time?Hahaaaaaaaah!! Chagua moja tu!
Hapana!! Hapo inabidi uondoke na kimoja kati ya hivyoHahha mkuu utalazimishaje nicjague moja wakati mazingira yanaruhusu kuchagua yote a the same time?
Sasa ulitaka isiwezekane?Inawezekana pia
Sijui kwa kweliSasa ulitaka isiwezekane?
Watu ni wanyamaaa!!Nabeba hela alafu naondoka bila kugeuka nyuma
Saafi ibaki kuwa hivyo hivyoSasa ulitaka isiwezekane?