TUSEME UKWELI TU Jamani! UTACHAGUA NINI KATI YA HIVI!

Kwa jinsi picha ilivyo unaweza kuwaokoa wote hapo pasipo shaka..Utu mbele kwanza.
Kwa mujibu wa picha nna mitazamo miwili.

Pesa hapo ina uzito wa kawaida sana kiasi kwamba naziunganisha na huyo binti nawatoa wote inawezekana.

Au nalirusha zigo la pesa nje huko alafu namchukua binti.

Au naziacha pesa zotumbukie kwa sababu mamba hawali pesa ntamwokoa binti alafu nafanya mchakato wa kuziokoa pesa kabla hazijalowa na kuzama.

Lakini pia ubinadamu unathaminiwa sana kuliko makaratasi.
Mashart ni kwamba ukitaka kuokoa vyote utapoteza vyote pamoja na wewe!

Haya, chagueni moja
 
Bilioni 20 haiwezi kukaa kwenye hako kabegi hivo hapo ni kumuokoa mwanamke hako ka begi kapite hivi
 
Watu wanaua kwa sh. Mil 2 iwe bil. 20, you must be kidding, mimi sichagui kitu maana hakuna kitu kama hicho, ila nitavuka mto nikiufikia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom