Tuseme ukweli: Kukiwa na dharura ya mchango kwa haraka, wewe na ndugu zako mnaweza kukusanya kiasi gani mkichangishana?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Katika maisha ya binadamu mara zote kimbilio kuu huwa ni ndugu katika kutatua jambo la dharura!

Kwa unavyowajua ndugu zako, wewe na ndugu zako kukiwa na jambo la dharula na mkaamua kuchangishana hapo kama wana ndugu ndani ya siku moja au mbili mnaweza kupata top top Tsh ngapi ile Maximum kabisa hata tukiwapatia Maiki mseme mlichopata kitakuwa ngapi?

(Wewe na ndugu zako pasipo kuhama ukoo tafadhali)
 
Hata sijui, hili swali fikirishi. Yaani Mungu atusimamie. Binafsi sina hela hapa na inayopatikana inasambaratika na kugawanyika kabla hata, sijaitia mikononi. Tukipata 30-50, itakuwa kweli sisi ukoo wa wanaume!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Eti wananipigia simu na kuniita Mimi kijana wao! Kijana wao na hawajui nimekula Nini Hadi umri huu, nisomaje, nimepitia mangapi mtaani. Nawangalia tu
Bahati mbaya ndugu wa kuzaliwa nao, hatuwezi kuwachagua. Ingekuwa hivyo mie binafsi wapo ambao, ningewakataa.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Hata sijui, hili swali fikirishi. Yaani Mungu atusimamie. Binafsi sina hela hapa na inayopatikana inasambaratika na kugawanyika kabla hata, sijaitia mikononi. Tukipata 30-50, itakuwa kweli sisi ukoo wa wanaume!

Everyday is Saturday............................... :cool:
Kwani bundle unatumia sh ngapi kwa wiki?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom