Tuseme ukweli kila mtu ushirikina anafanya

Binafsi sijawahi kufanya ushirikina. Ila nina hakika asilimia 99 ya Watanzania wanafanya ushirikina.

Tokea nimuone shemeji yangu mlokole haswaa. Kila siku kanisani, kila siku anasali, kila siku anasoma neno la Mungu, kila siku status anamtukuza Mungu, kila siku anatuhimiza kusali.

Ila alipojenga nyumba mpya, akamuita mganga kuja kuizindika, nilishapoteza imani kabisa.
Kujichanganya na hawa wenzetu weupe pamoja na changamoto zao kuna vitu vingi vya kujifunza
Kuna dogo at first nilikutana nae alikua around 17yrs kutoka Milan yeye hakuna na dini japo wazazi wake ni wakatoliki walioiva
Mwingine alikua mfaransa kutoka Paris around 19/20 hakua katika kuamini
Kufupisha, wenzetu wametoka kwenye social chain ya nini jamii inataka uonekane.
Baada ya kusoma ndoa
Baada ya ndoa watoto
Uishi maisha ya elimu yako
Uwe na majina kutokana na dini/mkoloni wako
Uwe na dini(ubatizwe au muislam)

Mambo ni mengi😅😅
 
Kama ufanyi shiriki basi kaishi porini na wanyama tu!

Asilimia kubwa mpaka wewe uliyesoma post hii shiriki umefanya!

kwa nini!
kuna kipindi unapata matatizo labda kuumwa, kukosa pesa, biashara kuyumba, mambo kwenda kombo na n.k. Na kila hatua umechukua inafikia ujaribu kwenda kwa sangoma tu ila kuna watu watajifanya shiriki kama hawajui .

kama hupo sehemu hizi basi lazima ufanye !
  • Ofisini au maofisini
  • Biashara za soko
  • Biashara zinazofanana na zipo sehemu moja au ushindani mkubwa
  • Kwenye siasa kuanzia kampeni mpaka chaguzi
  • Michezoni hapa wale simba na yanga wasikatae na michezo mingine
  • Mashuleni na mavyuoni
  • Lifestyle tunayo ishi mtaani
  • Vyeo na kipato
  • Ufugaji ,ulimaji na uvuvi
  • Migodini
  • Mafanikio
  • Nyumba za ibada makanisani na msikitini

sio utani!
[mention]Mshana Jr [/mention] kuna uzi wake ubabe wa kariakoo mlikuwa mfahamu.

kama ujawahi kuwa shiriki basi kariakoo pasikie kuna shirki ukitaja hapa unaweza kushindwa kufanya biashara.
Kariakoo hata muuza bidhaa za mkononi ni mchawi..anakuuzia nguo ama kiatu unakagua kabisa hakuna kasoro unalipa.. Ukifika home ukiangalia vizuri umepigwa..Ni lonya tena lililopitishwa nyuzi kizembe kabisa ....kurudisha huwezi! Unakubali tu matokeo
Utawatambuaje?
A. Muda wote wa biashara kakuangalia usoni
B. Muda wote wa biashara hakuangalii usoni
 
tatizo la washiriki watakuja kupinga hapa uzi huu na kuponda au kutochangia
 
kuna hao vichaa wanaokuja humu kuikosoa mada, kisa tu mleta thread kakosea herufi uo ni uchizi, namim mnikosoe tu lkn pesa nawazid, nyie mtanizii ivyo vyeti vya UDSM, ok mada husika yahusu ushirikina, ni kwel kbsa kuna kipind mtu unapitia kila kitu kinakwenda vbaya, na hasa kama umekulia/umezaliwa ktk familia za hoehae, familia ambazo kula kuku, ni mpka mmoja wao awe mgonjwa, namaanisha mtu aumwe achinjiwe kuku, ama kuku aumwe kidel na achinjwe.

huu si utan, kwa yaliyowakuta wanaelewa namaanisha nini, ila kwa hao maisha safi, watoto wa kishua, na waliobahatika kujahalia afya njema bas hii mada haikuhusu, maana utahis utani tu.

ushirikina upo tena kwa kiwango kikubwa, hata wale mnaowaheshimu mitaan(walokole,mashehe,wachungaji) hao ndyo washirikina wakubwa, kuna kipindi mtu unapitia mpk akil yako inakusariti yaan kila ufanyalo hukwama, uku madeni,magonjwa,mikosi, uwizi wa mali zako kupotea mazingira tatanishi vikikuandama na usijue msaada wap pa kupata, kila unaemfuata anakuadithia matatizo yake, na wengine kukuinjoy bila kukupa msaada,

hawa wanaojifanya wanatamka tamka sjui yesu ni msaada ama muombe Mungu, hawa hawajui shida hawa, kuna kipind inakulazimu tu ufanye jambo ambalo hukuwai fikil kuja lfanya na inakulazmu ufanye ili maisha yasonge...nyie wapuuzi mnaobeza hii mada, nawashauri nenden ktk topic mnazoona zna wapendeza
 
Kama ufanyi shiriki basi kaishi porini na wanyama tu!

Asilimia kubwa mpaka wewe uliyesoma post hii shiriki umefanya!

kwa nini!
kuna kipindi unapata matatizo labda kuumwa, kukosa pesa, biashara kuyumba, mambo kwenda kombo na n.k. Na kila hatua umechukua inafikia ujaribu kwenda kwa sangoma tu ila kuna watu watajifanya shiriki kama hawajui .

kama hupo sehemu hizi basi lazima ufanye !
  • Ofisini au maofisini
  • Biashara za soko
  • Biashara zinazofanana na zipo sehemu moja au ushindani mkubwa
  • Kwenye siasa kuanzia kampeni mpaka chaguzi
  • Michezoni hapa wale simba na yanga wasikatae na michezo mingine
  • Mashuleni na mavyuoni
  • Lifestyle tunayo ishi mtaani
  • Vyeo na kipato
  • Ufugaji ,ulimaji na uvuvi
  • Migodini
  • Mafanikio
  • Nyumba za ibada makanisani na msikitini

sio utani!
[mention]Mshana Jr [/mention] kuna uzi wake ubabe wa kariakoo mlikuwa mfahamu.

kama ujawahi kuwa shiriki basi kariakoo pasikie kuna shirki ukitaja hapa unaweza kushindwa kufanya biashara.
Wewe mshirikina mpaka unatamani kila mtu awe mshirikina. Nyie pia huwa ni wachawi. Mnakuwa na roho mbaya sana na ya kikatili.
 
Back
Top Bottom