The retired soldier
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 104
- 218
Hali imebadilika sana ..Upepo wa lowasa umepotea sana. Licha ya Ccm kumuogopa lowasa na kumpa kiki ya kufukuza wafuasi wake but lowasa kisiasa is totally finished.
Kufa kwa lowasa kisiasa ilikuwa lazima. Mvuto Siasa za lowasa zilimtegemea sana Jk. Hata jk alimtegemea sana Lowasa. Jk kastaafu siasa.. Kwahiyo lowasa hawezi kuwezi kuwa relevant hata afanyaje..!! Siasa za boys two men zimeshapita.
Chadema msifanye makosa. Simchukii lowasa kabsa, na huwezi kutaja siasa za Tanzania ukasahau jina la Lowasa. Lowasa ni strong, maturity leader, mwanasiasa mwenye ngozi ngumu. Strategic, leader, na hakurupuki.
Na ukweli usiopingika Lowasa angekuwa Rais kipindi hiki, Nchi isinge haribika hivi. But kwa now muda haupo na Lowasa.
Mzee wa hapa Kazi tu umepotea sana. Mzee hapendwi tena..hana mashiko km alivyoingia. Kipind anaingia kidogo tulishawishika but now sijui anasimamia nini. Busy with media. Mzee ameprove failure. Nothing tangible he did.
Ameingia no incremental ya mshahara kwa watumishi wa umma, hakuna kupanda madaraja, Private sector zinapunguza wafanyakazi..( unemployment rate imeongezeka hatufai Huyo). Mfumuko wa bei, double standard kwa kutumbua...!! Bosi wa Nacte katumbuliwa kisa Cheti lakini bashite anadunda tu like nothing happened.
Mkuu mkali sana, hajaribiwi, hapangiwi..but Rais wa kuchaguliwa lazma upangiwe na mabosi zako wananchi ..also no democracy n.k.
Ushauri
Chadema msimsimashe lowasa...!! Tafuteni Mgombea mwingine. Kwa kipindi hiki pia kwenye uchaguzi badilisheni Katibu Mkuu amepwaya sana. Hayupo relevant, hafai kuwa front line...!! Japo aliwasaliti Dr. Slaa but bado viatu vyake vikubwa sana kwa Mashilinji.
CCM nyie ni chama dume. But Magu upepo wake umekaa kushoto sana.hakubaliki tena kwenye jamii. Tusidanganye mkimsimamisha watu hawatompigia kura kwa hasira.
2020 chagueni right candidate Magu hawafai.
Siasa za Boys two men, they have done. Pumzika Lowasa kwa heshima Mzee wetu. Umefanya makubwa ndani ya ccm na chadema.
Magu miaka mitano imekutosha. Uzalendo unaouhubiri hauna mashiko. Ivi Mzee ebu jieulize kwanini Nape amekupinga kidogo tu Leo anaonekana hero. Sababu ni kwamba watu hawakuamini tena.
Vijana mwigulu, makamba,nape, na Mzee majaliwa chukueni fomu 2020.