Tuseme mgao wa umeme?

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
451
Wadau kwa takribani sasa wakazi wa maeneo ya Temeke tumekua tukikatiwa umeme bila sababu za msingi.
Kwa mfano huku maeneo ya Temeke Mwisho hakuna umeme kabisa....
Hali iko vp kwa wakazi wenzangu wa Dar?
Tupaze sauti jamani...
 
Back
Top Bottom