Tusaidiane: Nataka kujua gharama za kuanzisha kituo cha radio Tanzania

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
Habari wadau,

Nina plan ya kuanzisha kituo cha radio huko Tanzania,

Ninoamba mwenye idea ni process zipi napitia mpaka kumaliza mchakato mzima na gharama husika, na Itachukua mda gani?

Nikipata Likizo yangu ya week 3 mwaka huu nataka nijipange vya kutosha juu ya suala hilo
 
Kwa sababu umelenga gharama sawa lakini yangekuwa mambo mengine ningekushauri
Habari wadau
Nina plan ya kuanzisha kituo cha radio huko Tanzania,

Ninoamba mwenye idea ni process zipi napitia mpaka kumaliza mchakato mzima na gharama husika, na Itachukua mda gani?

Nikipata Likizo yangu ya week 3 mwaka huu nataka nijipange vya kutosha juu ya suala hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau
Nina plan ya kuanzisha kituo cha radio huko Tanzania,

Ninoamba mwenye idea ni process zipi napitia mpaka kumaliza mchakato mzima na gharama husika, na Itachukua mda gani?

Nikipata Likizo yangu ya week 3 mwaka huu nataka nijipange vya kutosha juu ya suala hilo
unataka kuifungua mkoa gani? na unalenga nani kama wasikilizaji??
TCRA wana aina zaidi ya mbili ya leseni za Radio.
unaweza kuwa na full FM radio station kuanzia million 20 mpaka 35 za kitanzania...hii pamoja na garama za maombi ya leseni pale TCRA.nimewai saidia kama watu 4 kutoka mikoa mbali mbali miaka iliyopita pamoja na kuwaandalia proposal ya kupeleka TCRA.
kama hutaitaji msaada Naweza kukusaidia just PM me.
https://www.tcra.go.tz/index.php/licensing/licensing-information/2-tcra/85-requirement-check-list
EQUIREMENT CHECK LIST
A complete application for licence should have the following:-

1

Transmittal letter to the DG

2

Dully filled and stamped application form

3

Photo copy of receipt for application fees

4

A certified copy of certificate of Incorporation or Registration

5

A certified copy of Company's Memorandum of Association

6

Track Records (references)

7

Company profile

8

Physical and mailing address

BUSINESS PLAN

9

Technical Plan

9.1

Type of technology (manual, brochures and technical specifications

9.2

Network roll out plan

(a) coverage

(b) traffic capacity

(c ) construction plan

d) radio frequency requirement

9.3

(a) Network plan and configurations

(b) Service offered

10

Tariff Plan
10.1

Costing structure

10.2

Service Pricing

10.3

Billing structure –capability of providing details

10.4

Customer care strategy (quality of services)

11

Financial Plan

11.1

Projected financial statement

11.2

Projected cash flow

11.3

Projected balance sheet

12

Investment Plan
12.1

Financing

12.2

Personally and Human resource development strategy

13

Programme Schedule (for content)
13.1

Quality and variety

13.2

Benefit to the local economy

13.3

Widening of programme choice

13.4

Impact on development of broadcasting industry overall benefit
 
Ntakutafta Mkuu wangu am serious
 
Kwanza ni lazima uwe na kampuni ambayo ni limited, ambayo ndiyo itakayoomba operating lisence.
Note kuanzisha radio sio kazi kazi ipo ktk tozo, tozo hutemea vitu vifuatavyo
Mosi, Unafanya kwa biashara au charity

Pili, masafa ( Frequence)
Tatu, content yaani maudhui, mfano maudhui ya wasafi fm na tbc fm ni tofauti.
Hapo unaweza kuendelea na wengine wakaongeza.
 
Back
Top Bottom