Tusaidiane mwenye uelewa na ununuzi wa magari online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusaidiane mwenye uelewa na ununuzi wa magari online

Discussion in 'International Forum' started by simbamkuu00, Feb 26, 2012.

 1. s

  simbamkuu00 New Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana Jamii, ninapenda kufahamu je ni kampuni gani inayoaninika kwa kuagiza magari. Nimejaribu kuangalia trade car view nikahisi ni the best kwa sababu wana huduma ya paytrade.. kwa yoyote anayeelewa kuhusu haya mambo tusaidiane maana nilishajaribu kunegotiate online na nikatumiwa Proforma Invoice lakini nikaogopa kuendelea. pia ningependa kufahamu gharama na procedure za utoaji bandarini. na je ni kweli kuna punguzo la kodi kwa civil servants? tusaidiane hapo wanajamii.
   
 2. emanuel magembe

  emanuel magembe Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbuka now days kuna wizi mkubwa kupitia mitandao so be careful enough about sending your money to people you never experienced, nakushauri nenda show rooms zinazoaminika kama CHEKI, AID CO, YUASA uchague lako gari.
   
Loading...