Tusaidiane Mawazo: Swali la Kipima Joto

Conrad84

Senior Member
Feb 14, 2016
104
43
Habari Wadau,

Nmekuwa nkijiuliza sana juu ya ili, Mfanyakazi ambaye anapokea pesa bila kufanya kazi wanahita mishahara hewa!

Na je mfanyakazi ambaye anafanya kazi bila kupokea mshahara tutamuhitaje?
 
hakuna anayefanya kazi bila kupokea mshahara swala la yue mkurugenzi ni kwamba alisusa kupokea mshahara wa mil 5 kwa mwenzi maelewano yao na jk kwa kipindi ile atakuwa analipwa ml 18 kwa mwezi ndio kasusa akawa anasubiri swala lake litatuliwe.. ni kama anaidai serikali
 
Habari Wadau,

Nmekuwa nkijiuliza sana juu ya ili, Mfanyakazi ambaye anapokea pesa bila kufanya kazi wanahita mishahara hewa!

Na je mfanyakazi ambaye anafanya kazi bila kupokea mshahara tutamuhitaje?
Mtu anayepokea mshahara bila ya kufanya kazi ni mfanyakazi hewa.

Anayefanya kazi halafu halipwi, huo ni mshahara hewa.
 
Back
Top Bottom