tusaidiane maswala ya ajira na kujiajiri wapendwa

d_flash

Member
Sep 2, 2018
6
0
guys tusaidiane mambo ya ajira na kujiajiri maisha yamekuwa magumu kitaa vijana tunapotea kwa kukosa maarifa na ajira
 
Ungeishiaga la saba tuu ingekuwa poa ungeingia kwny biashara ungekuwa mbali sana now cha msingi kujua kuandika kusoma na kuhesabu tuu bac kusoma madigrii uko kupoteza mda tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishia lasaba 2007 nikiwa na miaka 14 nikanza biashara ya kuuza karanga na sigara stend ila mwaka 2009 nikaingia jeshini nikiwa na miaka 16 now nasaidia marafiki zangu wenye digrii na ndugu zangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom