Tusaidiane kutoa jibu/majibu sahihi hapa tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Shule ya Upili ( Secondary ) iitwayo Mnazi Mmoja aitwae Jose ambaye inasemekana ana Urafiki wa karibu sana hadi unaoudhi wengine na mmoja wa Viranja wa hiyo Shule. Kinachosikitisha wengi ni kwamba hadi hivi sasa huyo Mwalimu Mkuu ameshawafukuza Kazi Viranja kama Watano hivi kwa makosa ya kawaida mno ila ni hivi majuzi tu huyu Kiranja wake Kipenzi aitwae Chris ametoka kufanya Kosa kubwa ambalo pengine hadi hivi sasa alipashwa awe tu Mwanafunzi wa kawaida na siyo tena Kiranja.

Je unadhani huu ukaribu wa huyu Mwalimu Mkuu Jose ambaye anasifika kwa ukali sana na huyu Kiranja wake Kipenzi Chris kiasi kwamba anampenda na kumlinda unatokana na lipi kati ya haya mambo mawili?

a) Mwalimu Mkuu Jose anaogopa akimuondoa kuwa Kiranja Chris anaweza akachukiwa na Wanafunzi wote kutokana na kwamba ameshajijengea Uadui na Wanafunzi wenzake wengi kutokana na tabia yake ya Kuwaonea hata pasipo sababu yoyote ile
b) Mwalimu Mkuu Jose anaogopa akimuondoa labda huyu Kiranja anaweza akatoa Siri Kali za Mwalimu Mkuu hasa ukizingatia kwamba huyu Kiranja Chris anajua mambo yake mengi ambayo si Walimu wenzake wala Wanafunzi wa hiyo Shule wanayajua hivyo inaweza ikamuathiri katika Ukuu wake wa Shule hiyo.

Nawasilisha.
 
Tafakuri yako ni nzito mm nilitegemea siku ile mwalimu anatoa ufafanuzi baada ya hapo ilikuwa ni kumtoa huyo kiranja labda roho inamuuma kumtoa
 
Kuna muda watamani gombana na mke wako ila ukiwazaga anajua siri zako nyingi hata kama umemzidi mengi na uko juu yake washindwa. Yaezekana kuna kitu hapo kwa mwalim mkuu huogopa mfukuza huyo kiranja asije mwaga had ugali
 
Hivi huyu makonda kawafanyiaga Nini watu mbona waga wanamchukia kupita kiasi.yaani makonda ndio binadamu anayeongozwa kuchukiwa hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mahala popote pale jina lake limeonekana katika huu Uzi? Naona unanitafuta endelea kujaa katika ' Frame ' ili ' nikuwashe ' vizuri usingizi ukupate ukajifunike ulale.
 
Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Shule ya Upili ( Secondary ) iitwayo Mnazi Mmoja aitwae Jose ambaye inasemekana ana Urafiki wa karibu sana hadi unaoudhi wengine na mmoja wa Viranja wa hiyo Shule. Kinachosikitisha wengi ni kwamba hadi hivi sasa huyo Mwalimu Mkuu ameshawafukuza Kazi Viranja kama Watano hivi kwa makosa ya kawaida mno ila ni hivi majuzi tu huyu Kiranja wake Kipenzi aitwae Chris ametoka kufanya Kosa kubwa ambalo pengine hadi hivi sasa alipashwa awe tu Mwanafunzi wa kawaida na siyo tena Kiranja.

Je unadhani huu ukaribu wa huyu Mwalimu Mkuu Jose ambaye anasifika kwa ukali sana na huyu Kiranja wake Kipenzi Chris kiasi kwamba anampenda na kumlinda unatokana na lipi kati ya haya mambo mawili?

a) Mwalimu Mkuu Jose anaogopa akimuondoa kuwa Kiranja Chris anaweza akachukiwa na Wanafunzi wote kutokana na kwamba ameshajijengea Uadui na Wanafunzi wenzake wengi kutokana na tabia yake ya Kuwaonea hata pasipo sababu yoyote ile
b) Mwalimu Mkuu Jose anaogopa akimuondoa labda huyu Kiranja anaweza akatoa Siri Kali za Mwalimu Mkuu hasa ukizingatia kwamba huyu Kiranja Chris anajua mambo yake mengi ambayo si Walimu wenzake wala Wanafunzi wa hiyo Shule wanayajua hivyo inaweza ikamuathiri katika Ukuu wake wa Shule hiyo.

Nawasilisha.
Samahani lakini, naomba kukuuliza haya na wewe,
1)Mwl.Jose anahudhuria vipindi, anafundisha na wanafunzi wanafaulu au?

2)Vipi muenendo wa shule hiyo, unaridhisha au?

Maana baadh ya wanafunzi nyie hufuata urojo tu mashuleni huku mkisahau yamsingi yalowapeleka.

Shenz type!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Shule ya Upili ( Secondary ) iitwayo Mnazi Mmoja aitwae Jose ambaye inasemekana ana Urafiki wa karibu sana hadi unaoudhi wengine na mmoja wa Viranja wa hiyo Shule. Kinachosikitisha wengi ni kwamba hadi hivi sasa huyo Mwalimu Mkuu ameshawafukuza Kazi Viranja kama Watano hivi kwa makosa ya kawaida mno ila ni hivi majuzi tu huyu Kiranja wake Kipenzi aitwae Chris ametoka kufanya Kosa kubwa ambalo pengine hadi hivi sasa alipashwa awe tu Mwanafunzi wa kawaida na siyo tena Kiranja.

Je unadhani huu ukaribu wa huyu Mwalimu Mkuu Jose ambaye anasifika kwa ukali sana na huyu Kiranja wake Kipenzi Chris kiasi kwamba anampenda na kumlinda unatokana na lipi kati ya haya mambo mawili?

a) Mwalimu Mkuu Jose anaogopa akimuondoa kuwa Kiranja Chris anaweza akachukiwa na Wanafunzi wote kutokana na kwamba ameshajijengea Uadui na Wanafunzi wenzake wengi kutokana na tabia yake ya Kuwaonea hata pasipo sababu yoyote ile
b) Mwalimu Mkuu Jose anaogopa akimuondoa labda huyu Kiranja anaweza akatoa Siri Kali za Mwalimu Mkuu hasa ukizingatia kwamba huyu Kiranja Chris anajua mambo yake mengi ambayo si Walimu wenzake wala Wanafunzi wa hiyo Shule wanayajua hivyo inaweza ikamuathiri katika Ukuu wake wa Shule hiyo.

Nawasilisha.
Hii njia uliyokuja nayo utawapata wachache sana kuchangia ulichokusudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom