Tusaidiane Kutathmini Elimu za Wanasiasa wetu nchini Tanzania na uwezo wao wa Akili kupitia Taarifa hii

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,795
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda @baba_keagan leo amekutana na Wamiliki wa Vyombo vya Habari upande wa Online na kuzungumza nao, ''Ninaaanda Mashindano na Kwenye mashindano hayo kuna zawadi kwa mwandishi na mwananchi utakayefanya naye hiyo kazi, Mimi nitatoa maswali 12, na wewe utatunga Maswali yako 12 ila topic iwe inahusu maswala ya SADC, Maswali haya yaulizwe Bar, masokoni, Saluni na waendesha Bodaboda.

Chanzo: Millard Ayo
 
Ayo maswali n yapi

Na Yana umuhim gani??

Umeanza lini Kutumia huu Mtandao wa JF Kiongozi? Unavyorudia rudia Kutuma post hiyo hiyo na zaidi ya mara moja huku ukijua kabisa kuwa unatujazia Server una maana gani? Ukiitwa Duduna utakuwa unakosewa Adabu na Utalaumu?
 
Tathmini ya elimu kwa kiongozi haina maana yoyote, kitu muhimu kwa kiongozi ni uwezo wa uongozi unao deliver the results.
Kuna ma Ph.D holders who can't deliver na kuna ma STD 7 who delivers, hivyo elimu doesn't matter much

P
 
Ni njaa, ubinafsi, kupenda sifa, kutotaka kuwaachia wengine madaraka, hawapo kwaajili ya kesho ya Taifa.
 
Back
Top Bottom