Tusaidiane kushangaa Kivuko kilichojengwa kwa milioni 7.8 huko Songea

Unaweza kuta tenda aliyopewa mjenzi ni 780,000/= jamaa watoa tenda wakaongeza 0 na kupiga zaidi ya milioni 7 Hicho ndio kinaitwa kishindo cha awamu ya tano. Mbunge CCM, mkuu wa wilaya CCM, mkuu wa mkoa CCM, mkuu wa polisi CCM, diwani CCM! Hivyo jumuisho ni kuwa fesha zimeliwa na CCM!
 
Nyinyi wapiga mayowe..
Nani humu ni mtaalamu wa ujenzi alete hoja za msingi sio haya mapambio yenu na umbea tuu.

Mtoa mada unapokurupuka uwe unakumbuka kuweka na picha za awali kabla ya ujenzi..B4 and After
 
Daraja linafunguka kwa remote pia

Hongereni

Ova
 
Back
Top Bottom