Tusaidiane kupeana elimu kuhusu GeoPoll

Feb 24, 2017
75
35
Habari wakuu natumaini hamjambo!
Nakuja hapa jukwaani ili tujifunze mtandao wa airtime ujulikanao kama GeoPoll unaotoa muda wa maongezi pindi utakapojiunga kwa kupitia application yao.
 
Mi nlijiungaga ila kila nkienda kwenye survey naambia no surveys are available now,na pia nimeshiriki community polls nyingi bila chochote,je nimekosea wapi,au natakiwa nifanyaje?
 
Pole na mm nimejiunga Leo na sasa kuna 223 tu nimeingiza watu wawili
 
Geopoll ni nazi tu skuizi

Jiunge premises jamaa wanamwaga maswali kama yote..tena wao unatoa hela hata kwa mpesa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ebu maelezo mkuu wakoje na vigezo ni vipi boss
 
Back
Top Bottom