robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?
Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo. Angalau tuanze kizazi kipya cha wansiasa.