#COVID19 Tusaidiane kumpata Spika na mstaafu Kikwete wakachanjwe. Itatusaidia

robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
740
1,214
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo. Angalau tuanze kizazi kipya cha wansiasa.
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.
Kwa mbaali, naona unataka Chanjo isaidie kusafisha wanasiasa waliojidai kuwahi siti, eti?
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.
Acha ujinga ww, chanjo ni hiari! Kama vipi nenda kachanje mwenyewe ili uisikilizie mwenyewe live vile itakavyokuwa inakufanya! Hii itakusaidia badala ya kusikia ya kuambiwa ama kuwatazama wengine!
Mie ktk hili nipo na askofu Gwajima, 😜!
 
IMG_0123.JPG
Unadhani alifikaje huku bila kuchanjwa?
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.
Kikwete alichanja labia meko hajafa .
Yule alishasema ZA mbayuwayu .....

Sasa hivi yupo UK huko anapiga Mishe
 
JK mjanja yule mzee hawezi kukaa kiboya awe hajachanja mpaka leo... Anakwambia akili ya kuambiwa changanya na yako!
Labda Ndugai ndio bado...Jakaya Mtoto wa mjini anajua dunia inavyoenda. Mwendazake hakuamini na akaenda na Sasa Rashid Kibwetere na wafuasi wake wasioamini ukuu na uwezo wa Mungu wapo wanamtukuza Mzungu na shetani kuwa wanataka kubadili maumbile ya binadamu kwa chanjo za covid-19.
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo.
Unajuaje Kikwete hajachanjwa?

Kuna Watanzania wamechanjwa miezi mingi iliyopita.

Za kuambiwa changanya na zako.
 
Wastaafu wote wanafanyiwa chanjo majumbani mwao. Na tusisahau kuna baadhi ya watu walikwenda kutafuta chanjo njee ya nchi, weshapiga vaccine za Faizer na Sinopharm
 
Back
Top Bottom