#COVID19 Tusaidiane kumpata Spika na mstaafu Kikwete wakachanjwe. Itatusaidia

Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo. Angalau tuanze kizazi kipya cha wansiasa.
JK yupo uingereza kwenye kongamano, na pia kwa jinsi alivyo atakuwa alishapata chanjo kumbuka huyu jamaa alikuwa anavaa barakoa kila event the akaacha Ina maana alishapata chanjo.

JK hanaga mambo ya ujima labda huyo jamaa yenu wa kongwa
 
Thibitisha Mghwira amefariki kwa corona? anza na hilo. Then jikumbushe kama aliyewahi kuungua ndui na kupona alihitaji chanjo.
unabishana na taarifa ya familia yake?

Nimeshaona umekaa kimabishano, siwezi mabishano bila hoja.
 
Back
Top Bottom