#COVID19 Tusaidiane kumpata Spika na mstaafu Kikwete wakachanjwe. Itatusaidia

Nashindwa kuelewa kwanini mtoa mada hakulijua hilo....Yaani JK mpaka sasa awe hajachwanjwa asubiri za bure?? Kama kina AY walishachanjwa zamani miezi karibu mi5 iliyopita ndio JK asichanjwe?
Nina rafiki yangu alichanja mwaka jana, yeye aliumwa corona ile ya kwanza na kupumulia Oxygen kwa siku 4 na akashuhudia ndugu yake akifariki kwa corona. Hakutaka kusubiri siasa zetu hizi, faster tu kaenda kwa wenzetu kapata na mkewe
 
Yes kama mtu unasafiri na unapesa hakuna haja ya kusubiri hisani ya comedians kina mollel na dorothy wakupe chanjo ya bure.
 
Acha ujinga ww, chanjo ni hiari! Kama vipi nenda kachanje mwenyewe ili uisikilizie mwenyewe live vile itakavyokuwa inakufanya! Hii itakusaidia badala ya kusikia ya kuambiwa ama kuwatazama wengine!
Mie ktk hili nipo na askofu Gwajima, 😜!
Ndo maana naomba hawa wawili waisikilizie. Hivi bado tunawahitaji ktk siasa zetu?
 
Nina rafiki yangu alichanja mwaka jana, yeye aliumwa corona ile ya kwanza na kupumulia Oxygen kwa siku 4 na akashuhudia ndugu yake akifariki kwa corona. Hakutaka kusubiri siasa zetu hizi, faster tu kaenda kwa wenzetu kapata na mkewe
That was stupid! Kinga aliyopata baada ya kupona ni kubwa kuliko aliyopata kwa kuchanja. Yaonekana ni bwege wa biolojia!
 
Unajuaje Kikwete hajachanjwa?

Kuna Watanzania wamechanjwa miezi mingi iliyopita.

Za kuambiwa changanya na zako.
Mbona hajafa? Basi nchi haipendwi Mbinguni. Mi naombea wote hawa waliochanjwa wafilie mbali ili tuanze na kizazi kipya cha wanasiasa.
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo. Angalau tuanze kizazi kipya cha wansiasa.
😂😂😂😂😂😂Nimekuelewa sana unapoelekea. Huyu speaker huwa anakuwaga kimbelembele sana kwenye shughuli za ikulu sijui amekimbilia wapi kwenye hii chanjo. Atafutwe wamchanje mzee wa msoga yuko zake viwanja
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo. Angalau tuanze kizazi kipya cha wansiasa.
duuuu
 
Unafikiri kaendaje Nje bila Kuchanjwa?
 
That was stupid! Kinga aliyopata baada ya kupona ni kubwa kuliko aliyopata kwa kuchanja. Yaonekana ni bwege wa biolojia!
Unajua Mama Mghwira mwaka ajana aliumwa corona na kupona na mwaka huu nini kimetokea?

Unajua pia mapafu ya mtu ambaye alipata pneumonia ya coroma huwa hayarudi kama kawaida, kuna kuwa na effect kubwa inaacha kiasi? Mtaalamu wa biolojia tuambie
 
Thibitisha Mghwira amefariki kwa corona? anza na hilo. Then jikumbushe kama aliyewahi kuungua ndui na kupona alihitaji chanjo.
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo. Angalau tuanze kizazi kipya cha wansiasa.
Hahahahaha, iwafyeke wote sio? Wakamatwe wakachanjwe kwa nguvu 😂😂😂😂
 
Mbona hajafa? Basi nchi haipendwi Mbinguni. Mi naombea wote hawa waliochanjwa wafilie mbali ili tuanze na kizazi kipya cha wanasiasa.
Kwani waliochanjwa ni wanasiada tu?

Una matatizo gani mpaka uombee watu wengi wafe hivyo?
 
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?

Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye kwa wanasiasa, ni muhimu wakachanjwa maana matumaini yangu ktk chanjo hii ni makubwa na huenda ikatusaidia kuondoa mambo muhimu ya kisiasa miezi ijayo. Angalau tuanze kizazi kipya cha wansiasa.
Vipi yule dakitari wa kiembe samaki pamoja na baba yake wamechanjwa?
 
Back
Top Bottom