Tusaidiane kuelewa ama kutafsiri hili neno!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Ku move on imekuwa neno maarufu sana na linalotumiwa na watu wote (hasa slay queens)hasa miaka ya hivi karibuni!
Kwa msaada wa watu wa marekani (google)move on ni kuendelea!
Sasa kwenye mapenzi sijui ina maanisha nini maana unaweza ku move na mpenzi wako ulionae leo uka move on nae hadi pale kifo kitapowatenganisha!maana demu unayemtungoza leo wenda ametoka kuachika na jamaa fulani kwa tabia zake mbovu!
Jamaa unayemkabidhi moyo wako leo wenda ametoka kuachika kwa tabia zake mbovu !
Kwa hivyo wote mnakutana mbovu vs mbovu =mbovu mbovu!
Ku move on tuwaachie wazungu sisi huku tuzunguke na Dunia kwenye muhimili wake yaani go &return!
IMG_4603.jpg
 
Ku move on imekuwa neno maarufu sana na linalotumiwa na watu wote (hasa slay queens)hasa miaka ya hivi karibuni!
Kwa msaada wa watu wa marekani (google)move on ni kuendelea!
Sasa kwenye mapenzi sijui ina maanisha nini maana unaweza ku move na mpenzi wako ulionae leo uka move on nae hadi pale kifo kitapowatenganisha!maana demu unayemtungoza leo wenda ametoka kuachika na jamaa fulani kwa tabia zake mbovu!
Jamaa unayemkabidhi moyo wako leo wenda ametoka kuachika kwa tabia zake mbovu !
Kwa hivyo wote mnakutana mbovu vs mbovu =mbovu mbovu!
Ku move on tuwaachie wazungu sisi huku tuzunguke na Dunia kwenye muhimili wake yaani go &return!View attachment 1713777
Umepotoshwa na hiyo google translator ukitaka kulielewa neno ni vema ukalichunguza katika lugha...yaani ulielewe linavyotumika neno katika lugha yake hiyohiyo ndo kisha utafute mbadala wa maana inayowakilishwa na lugh ya awali kwa kutafuta maneno yatakayo kidhi maana yake katika lugha ya pili.
"Slay Queen" mara nyingi wanalitumia neno "move on" kumaanisha kuacha au kuanza kitu kipya pia inaweza kumaanisha kuendeleza kitu ...hapo lazima utafsiri sentensi nzima na sio neno mojamoja
IMG_20210228_120128_969.jpg
 
View attachment 1713809

Unasema Google wanapotosha na wewe umeenda tena Google ndio nikasema ku move on tuwaachie wazungu sisi tuendelee kuzunguka na dunia kwenye muhimili wake
 
Back
Top Bottom