Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,171
- 4,398
Hi!!! Wana JF.
Naomba kuuliza kuhusu CCM. kwa historia niliyoipata jina hili ni muungano wa vyama viwili yaani TANU na ASP. Swali langu, kwa nini kiitwe chama cha mapinduzi hata huku Tz bara wakati Uhuru wa huku hatukuupata kwa kufanya hayo mapinduzi.???
Pia kuna naombwa kujuzwa hili viliungana mwaka gani??
Baada ya kuungana ndio yalipotokea mapinduzi au kabla ya hapo???
Chama hiki asili yake ni Zanzibar kama wahusika wakuu wa mapinduzi au vipi??
Kwa mfano tukajitenga yaani Tz visiwani kwake na Tz bara kwake chama hiki kwa Tz bara kitaitwaje??
note: mimi sifungamani na chama chochote cha siasa nchini.