Tusaidiane hata kama hatujuani ?

malifimbo

Senior Member
Apr 2, 2013
127
29
Jamani kama kuna kazi mahali unajua naweza kufanya naomba uniPM namba yako ili niweze kuwasiliana nawe kwa msaada zaidi.Mimi niemaliza chuo kikuu mwaka huu.
Sichagui kazi ila iwe ndani ya uwezo wangu.maana kukaa nyumba mtt wa kiume sio ishu .asanteni ,nawasilisha hoja...........
 
Mimi nitajuaje kama wewe unaweza kufanya kazi fulani? Hebu kuwa mtu mzima maana nashindwa kuelewa hata hiyo degree uliipataje,nani kasema 'mtt'???(mtoto) wa kiume kukaa nyumbani sio ishu ina maana ishu ni wa kike? Unataka upewe kazi watu hawajui umesoma nini umesoma lini umesoma wapi?
Idiot
 
Newbie kama nimekosea kuandika naomba samahani ,ila najua na umeelewa nini na maanisha.
Nimesoma degree ya social sciences majoring histoty asante mkuu
 
Kwa jinsi nilivyokuelewa, ni kuwa uko tayari kufanya kazi yoyote, lakini watu watahitaji angalau kujiridhisha na wewe, hapo ungesema hata umesomea nini, au hata unauwezo wa kufanya nini, nk, maelezo yako yananing-nia sana, na unaweza kuonekanaunafanya mzaha. Waelezee kwa ufupi ndugu.

Jamani kama kuna kazi mahali unajua naweza kufanya naomba uniPM namba yako
 
NIMESOMEA MAMBO YA SOCIAL SCIENCES KTK HISTORIA,NAWEZA KUFUNDISHA SEKONDARI,UTAFITI NA KUWA ANALYIST.asante
 
Back
Top Bottom